@buildyourmindset1: #motivation #inspirational #SelfImprovement #success #pourtoi #fyp #davidgoggins

Build Your Mindset.
Build Your Mindset.
Open In TikTok:
Region: FR
Wednesday 09 July 2025 17:33:16 GMT
1912
559
8
5

Music

Download

Comments

carloshxv
Carlos H :
STAY HARD
2025-07-12 08:52:39
0
navratn012
️ :
🔥🔥
2025-07-10 09:19:51
1
sergiohaider
Sergio Haider :
💪💪💪
2025-07-09 20:54:49
0
ronaldo21088
matwii :
😎😎😎
2025-07-19 17:50:54
0
To see more videos from user @buildyourmindset1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

💕💕💕 Haitokuja kutokea nikaacha kukupenda, siwezi ichukulia poa zawadi hii ya upendo ambayo siku zote nilikuwa naitamani na leo nimeipata Sitopambana ili ubaki na mimi ila nitapambana ujue thamani ya upendo ninaokupa, kiasi kwamba moyo wako utaridhika na kila kitu kutoka kwangu Nitakupenda mpaka moyo wako uone aibu kusalimiana na mtu mwingine wa jinsia yangu, nitakupenda mpaka akili yako isahau kama kuna kupendwa na mtu mwingine asiyekuwa mimi Upendo wetu utakuwa funzo kwenye kila chuo kinachofundisha upendo wa kweli, na kwenye kila kitabu kitakachohusu mapenzi basi kila kurasa litaandikwa jina letu Ukiacha Bibilia na Qurani, kitabu cha upendo wetu ndicho kitapendwa na kila mwanadamu bila kuchagua dini zao, kila atakayetusoma tatamani kutushuhudi kwa macho yake Tunaishi kwenye dunia ambayo kuna muda tunakata tamaa kwenye mipango yetu, ila kamwe sitoruhusu mshipa wa tamaa ukatike kwenye penzi letu Sitaki kuwa miongoni mwa watu kwenye dunia hii ambao wao kumpoteza mtu ni sawa tu, kukupoteza wewe ni sawa na kupoteza maisha yangu Najua kukupenda na kukuthamini wewe ni upendeleo kutoka kwa Mungu, Mungu angeweza kukuchagulia mtu mwingine pia ila aliona wewe unafaa kupendwa na mimi  Tupo kwenye dunia yenye kiburi na kujidai kutokana na mafanikio, ila tambua Mafanikio yangu ninayojivunia ni kukupata wewe iweje nikose uaminifu kwenye maisha yangu mwenyewe? Siwezi nikaacha kukupenda hata zile siku ambazo unanilazimisha nisikupende, siwezi kuacha kukuthamini hata zile siku utakaposhusha thamani yangu na sitaweza kukusahau hata pale utakaponilzimisha nikusahau 🤗🤗🤗 #tanzaniatiktok  #kenyantiktok🇰🇪  #viralvideos  #mapenzi

About