@frankmavura: Kanuni 15 zitakokuwezesha ukue katika maisha, ukiwa na Nguvu, na Mafanikio 🫟🫟🫟 15 Principles That Will Help You Grow in Life, with Strength and Success! #principle #kanuni #swahilitiktok #swahili #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #frankmavura #psychology #psychologyfacts #saikolojia

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 July 2025 07:57:33 GMT
202000
15849
869
1842

Music

Download

Comments

frankboran
frank boran..# :
Hakika Mungu kwanza🙏
2025-07-10 11:29:39
25
jecob_585
jeymassawe_59 :
Ila Frank hizi facts unatoaga wapi ...? big up sana bro 💪💪
2025-07-10 08:21:04
9
azeezou68
🧕Azeezou💕 :
Me napnd uyu kaka🥰🙏Mana ananipa nguvu,Ujasiri n ukomavu kweny haya maisha 🙏tunapitia mengi Ila upo sahihi my brother 🙏Mungu azidi kukubarik kwa ajili ye2 wanyonge tuliokosa marafk wa kuongea nao. Mungu awe nawe milele my brother @Frank Mavura
2025-07-10 11:50:20
8
hussein_0363
Hussein Ali :
SAFI KABISA
2025-07-10 10:31:40
7
boniphace822
boniphace822 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 l believe the God bless you ever thing
2025-07-15 09:35:12
5
hadiafranciss
hadiafranciss :
akili nyingi allah akubariki
2025-07-10 10:00:49
5
tunu_kidsstore
tunu_kidsstore :
Asante kaka najifunza sana kwako🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2025-07-10 12:51:47
4
dr_juma1
Hss_Online_Clinic :
mungu kwanza
2025-07-15 08:02:12
4
joe_trueman6
Joe d'Creative :
Frank this is very inspirational n true. keep it up bro
2025-07-11 08:13:00
4
fettyfetty355
Fetty Fetty :
kaka frank unanitia nguvu sana mungu akubaliki
2025-07-10 08:42:24
4
lissah_sima
melaninaire_empress :
doers do in silence, they don't crave for a go ahead. giving makes you happy as those who earn enough. having a sense of enough is key! let them, people come and go the journey to your success will show who your true friends are. challenges make you stronger, discipline=discipline+death, a free soul thrives like a wild flower be one, acknowledge your emotions, heal then move on 🥰
2025-07-10 08:11:02
3
user90656591416815
mamica :
bro💪
2025-07-10 08:51:21
4
evanssimiyu571
EVANS SIMIYU :
Asante kwa ushauri God bless 🙌 🙏
2025-07-10 09:04:27
4
elizammasa
eliza mmasa :
kaka yangu umeningusa kwa somo lako..mengine nimeyapitia ktk maisha yangu🤔🤔🤔
2025-07-15 20:32:53
3
mumyakelizy
mumy ake lizy😎😎 :
☺️Allah akufanyie wepesi inshallah 🙏 kweny mipango yako 🥰
2025-07-10 10:16:15
3
loveness1251
loveness :
Kaka frenk naomb no yako kunakitu naomba tuongee pls if possible
2025-07-10 08:13:08
3
fakhimussasuwedi
Fakhi mussa [email protected] :
akili kichwani mwako🤔🤔
2025-07-15 15:31:04
3
chrisogonousjose3
chrisogonousjose3 :
Mungu akuweke bro ,tunahitaj San madin Kam hayo has c vijan,Big up kak💯💯💯🙈🙏
2025-07-11 19:18:42
3
nchilia
mina :
My mentor ❤️
2025-07-10 09:45:31
3
bainakaigalula
baina kaigalula :
uko vizuri ndugu endelea kutupa shule.
2025-07-15 22:02:15
3
ayubulekipa
ayubulekipa :
nakubali mungu wa atusaidie🙏🙏🙏
2025-07-15 11:50:39
3
cressios
kwang zero :
broo uwe na maisha marefu thanks brooo🤜 umenijenga kaka
2025-07-15 21:42:00
3
kelvindamiani3
kelvindamiani3 :
sijawahi kucoment humu hata siku moja ila kwako nakushukur sana Mungu akubariki sana
2025-07-15 10:51:06
3
user7205091598147
user7205091598147 :
ubarikiwe sana maana kama Mungu kakutuma unanitia nguvu na ujasili Mungu akubaliki
2025-07-10 09:24:49
3
aika.toto
aika toto.Tz🇹🇿 :
yeap nikweri tumejifunza 🙏🙏🙏
2025-07-10 08:09:15
3
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About