@dr_nazar_: Ndimu inaweza KUWA tiba ya acid reflux. #tanzaniatiktok #choochaafya #afyayatumbo #foryou #digestiontips #chakulabora #chakulabora #mlohalisi #stressfreeeating #kenyatiktok #drnazar #refluxlife #guthealth #tiktokhealth #acidreflux #tanzaniatiktok #mlohalisi

DR NAZAR
DR NAZAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 July 2025 17:16:47 GMT
54189
736
143
244

Music

Download

Comments

leecute342
leecute :
Asante
2025-07-17 21:13:31
1
kate.oluchiri
Kate Oluchiri :
This one is a nooo
2025-07-16 07:54:06
1
warda.abdul
warda Abdul :
Mhhhhh 🙄 acid uongze acid
2025-07-12 12:02:46
2
jane_ma14
Jane_Ma :
hii tick talk utuchanganya wa 🤣cayenne the best
2025-07-13 16:31:13
2
aishaibrakera
Aishaibrakera :
WE USHA UGUA ACID REFLUX ??
2025-07-11 15:17:32
3
medi.blessed
medi blessed :
mm nina hyper acids help me plz
2025-07-14 07:55:09
1
snipergirl225
Ritha Mshanga :
mmmhhh 😳😳😳
2025-07-11 15:20:35
1
user87935156013615
xanurath 🌺🌱 :
watu wanataka kuuana
2025-07-11 09:02:56
9
monabeautysaloon2
Monik :
hii nayo apana
2025-07-16 16:05:48
1
wisdmata
Wisdmata :
tunaomba utusaidiye Sisi tunasumbuliwa n'a tatizo hili.
2025-07-18 08:01:36
1
abugalby
ابوقلبي :
muongo wewe utauwa
2025-07-16 13:04:18
1
festoo36
user6705213731752 :
na kama ukona vidonda vya tumbo
2025-07-16 11:56:53
1
christineben001
mama 2 boyz :
uongo dimu hatari sana
2025-07-17 11:20:57
1
oisso86
oisso :
duh
2025-07-13 08:08:54
2
user92611297119574
user92611297119574 :
na kama una vidonda tumbo na gesi inajaa mpaka kizunguzungu unaweza kutumia ndimu
2025-07-11 18:38:58
1
user6721195496754
Mr black :
ma Dr wengi uku
2025-07-11 13:10:34
1
josephat.steven
Josephat Steven :
huyu jamaa akili yake siionzuri sijui kasomea wapi chuo cha uugizi haaa ndio wakufungwa
2025-07-17 07:54:50
0
einoth.olais
Einoth Olais :
kwa wenye vidonda vya tumbo jamani tutatumiaje
2025-07-14 10:03:34
1
jidereal8
Judith lugenge :
kwan acid na vdonda vya tumbo ni vitu viwili tofauti au kwasababu cjasoma😥
2025-07-15 16:03:27
2
pascalinah.peter
Pascalinah Peter :
Kama una vindonda vya tumbo je
2025-07-11 08:42:09
1
grace.charles98
Grace Charles :
wewe acha uongo
2025-07-11 11:29:28
1
wangui.mumbi
wangui mumbi :
nasubuka sana na gas
2025-07-14 14:04:57
1
madameg71
[email protected] :
😂😂😂🤣.. nikila tu chungwa cjala kitu nahisi mlipuko tu.boni.. we unaniambiaje??
2025-07-14 12:17:14
1
user4267579045121
yule boy :
tulionavidonda tumbo
2025-07-14 12:16:31
1
rukiamachili
Rukia Mambea Machilli :
asante dr Nazar
2025-07-14 11:53:29
1
To see more videos from user @dr_nazar_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About