kwan ujui wanawake ndo wanadamu wa kwanza kubonga na shetan kwaiyo aliwapa vipaj ving ata kudanganya kwao kuna msiba wakat hamna.
2025-07-18 06:47:59
0
chaupole🥰❤️🇹🇿 :
ndio mim huyo yani mpaka kunamda na cheka 😂🤣
hawahesabiki dah sielewi kabisa yani 🫢
2025-07-13 13:59:12
8
Kizamani kisasa :
Ndio sababu inayofanya wawe wanaoongoza kwa kubeba manuksi sabau wanaunganisha roho za watu makabira tofaut kuchanganya manii tofaut ni hatar kubwa sana wallah ila hawaelewi ndio maana wengi wao maisha ndio kwanza yamewazid kwa dhiki wala hakuna anaekua tajir dah kizaz cha pupa tamaa na ushindan bila huruma😢
2025-07-15 13:14:32
2
🎀Hellen🦋 :
kama mnavyotupanga nasi tunawapanga mashetani wakuu ni nyie
2025-07-17 13:23:14
1
lovelyner :
yaaani hpo umeongea bro cjui nan kakuibia hio siri ndo hta bible ilinena ikasema kaeni nao qwa akil hlfu mtu anaendlea ksema mwnmke n dhaifu 😂😂😂
2025-07-15 11:14:30
0
kubelw :
kweli kabisa 2lijikuta 11🤣🤣
2025-07-17 15:59:11
0
kyalos :
hety hulikagua simu ya nani
2025-07-13 16:38:17
0
Peter Leonard :
mwanUme anakuwa na mademu mia bado kila demu anajua yuko peke yake na anapata huduma😂😂
2025-07-13 19:15:23
70
ikrattypretty019831 :
Eric popot ulipo kwang uko pek yako🥰
2025-07-15 11:58:18
2
black kidot :
ni mm kabisa huyo 😁😁
2025-07-14 09:50:16
0
Neelam beauty🦋 :
kwly kabisa😅
2025-07-14 04:01:23
0
zizah!💞 :
tuna mshukuru mungu kwahilo😂
2025-07-16 14:45:32
0
sabrinah :
halaf kila unammoja unampea anasema babe inabana acha kabisa🤣😂
2025-07-14 11:49:01
13
Tiffa❤️ :
Nyie shetan Ndo kawapat sas unakut bwan Ana wanawake wengi kha
2025-07-14 12:22:30
0
Officialchunaaa💃💃 :
Nowadays ni mwendo wa kupangan tu
2025-07-14 13:50:30
2
carol gushitiktok.com/@carolgu :
nani anataka tulaikiane video Tano Tano plzz 🙏🙏
2025-07-14 20:48:08
1
lovness love :
😀😀hatuja pew kipaji na shetan ni wanaume ndo mme tufanya ivoo
2025-07-17 06:04:41
0
userchiza lovely :
ww unachunguliagaa vikao vyetuu🤣🤣
2025-07-14 14:09:46
1
@triplek385#💔 :
uwii wee piah na wanaume ambao hawana helaaa🤣🤣🤣
2025-07-13 20:12:05
0
fatma :
Kumbe na hii pia mnajua😂😂😂😂😂
2025-07-14 19:41:57
0
Binti Mohammed🥰 :
Ngoja nijaribu siwezi kufa maskini mm
2025-07-14 11:18:58
4
𝐍𝐘𝐈𝐍𝐙𝐈 :
Mi siamini kama nikwakeli 😀😂😂
2025-07-15 20:31:55
1
jujubeautiful3🥰 :
kabisa
2025-07-13 17:57:15
0
To see more videos from user @kim_zfiler2, please go to the Tikwm
homepage.