@harna_meme: #tiktoktz #harna_meme

Harna_Meme
Harna_Meme
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 July 2025 13:43:28 GMT
206972
5936
211
625

Music

Download

Comments

user7728450221397
Via6 🥰🌹 :
🤣🤣🤣 ma mkwe anajuwa kupangilia jmn mpka Misa ya pili oooh Misa ya kwanza ni mishangaziii
2025-07-12 19:38:28
87
joyce.raymond.mus
Angel mushi🥰 :
Mama kanyooka vipengele uje navyo ww😂😂
2025-07-12 20:48:32
3
02haule
haule jr :
Mama anatengeneza mashambulizi akitokea pembeni
2025-07-29 16:53:38
5
glory01253
Glory❤ :
kesho me nawahi misa ya pili utanikuta mbele kule 😂
2025-07-12 19:55:52
11
middy_piccolo
Piccolo :
unajua nacheka kwanini😁😅
2025-07-13 12:01:40
3
donatha.frances
Donatha Frances :
Mama mkwe tunae
2025-07-12 17:47:16
21
bresalva
bresalva :
Sanam lako lijengwe wapi mama
2025-08-13 16:13:50
0
mercy.rey3
Mercy Rey :
mama mkwe tunae tunatamba nae🥰🥰🥰
2025-07-12 17:49:39
22
clarencechaplin7
Clarence Chaplin :
Mama anatokea pembenii kama mpanjuu😂😂😂
2025-07-12 21:49:21
11
yuyo23said
yuyo said :
hata hivyo misa ya pili huwa ni ya vijana 🤣🤣🤣
2025-07-14 13:48:21
7
user634123278722
claud :
ila kweli misa ya2 ina pis nying misa ya1 wazee🤣🤣
2025-07-14 09:50:32
27
kipunje009
offici@l K.P💪 :
Ila Mama 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-12 16:09:41
18
user8249587686537
kalebu_17 :
zingatia misa ya pili broo
2025-08-03 15:13:19
0
ismailnashon578
Ismail Macompiter :
Kwenye misa ya kwanza naona kuna vitu vyangu kabisa😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-14 10:42:19
3
user33687281615192
mossah :
na ukitaka mishangazi ni misa ya kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-13 11:44:45
8
user331740846187
Vailet :
Iyo imeenda, je nikitaka mijomba niende misa yangapi😄
2025-07-13 17:45:44
1
mkaliwaraba2
MKALI WA RABA :
Bi mkubwa kachoka
2025-08-02 10:53:14
0
em.name26
vega makin26 :
saw🤣🤣🤣🤣
2025-07-14 20:47:06
0
user7814695756105
m. silent shade :
hii ni maajabu ☺️
2025-07-13 08:03:45
0
user7304358129800
God above all 💒💒💒 :
mama unakonerekea mkhhh ngoja enderea kupiga pass ndefu
2025-07-29 11:33:52
0
thumm585
thumm :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaja juu sna
2025-07-28 11:40:42
0
graceagain3
grace🌹 :
mam anajua kodi uyu
2025-07-13 07:39:55
0
decoration315
Jr decoration :
ameupiga mwingi😅😅😅
2025-07-15 07:06:19
0
mosekhalifa
mosekhalifa :
huyo ni mamaangu kabisa😁😁😁
2025-07-16 08:12:07
3
bethchapita
bethchapita :
🤣🤣🤣🤣 kweli tunaye mama mkwee
2025-08-02 20:02:58
0
To see more videos from user @harna_meme, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About