@abdoulyhero: #abdoulyhero #zanzibar #tanzaniazanzibar #nage #tanzania @KIJOGOO @DaivanSmart

abdoulyhero
abdoulyhero
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 July 2025 15:08:57 GMT
265903
9078
828
2784

Music

Download

Comments

ashira_122
Mjukuu Wa Ernest :
wenzangu wa mombasani wenye walicheza huu mchezo bonyeza like 😂😂
2025-07-14 13:41:03
278
subzsalum
88 :
Jamani maisha ya uswahili yana raha yake😂
2025-07-21 07:46:13
4
olompia2b
أ سية ناصر :
ooyeee😂😂😂😂 yaan ivo ndizo vituzangu Hadi Raha nawapenda nyote
2025-07-19 09:30:48
1
mwanjaa.madonna
MWAHIJA HAMIDU :
Uswshilini raha😂😂 asikwambie mtu
2025-07-14 03:26:22
166
ukhty_faidha
ukhty faidha :
nakumbuka enzi za uhai wangu ila saiv nishakufa namiss sana
2025-07-18 09:26:06
1
jackline.ayoubu.l
Jackline ayoubu Luoga :
wapi maeneo jamani
2025-07-19 15:21:34
1
userchete
chee254 :
hakuna kuvugujia,kuotea 😅zama zile magongo msikiti noor
2025-07-16 06:58:07
1
bishamztoursandsafaris
Bishamba :
Mtaa mzima uko hapo🤣😂
2025-07-15 05:16:58
2
ahmed.yare705
Ahmed Yare :
alicheza kimama mama na kibaba Baba wako wapi?😂😂😂
2025-07-17 12:37:13
1
aminatwalib6
Maza T :
umenikumbusha zama zanguuu nikirudi nyumban mchafuu fimboooo lakin nshaenjoyy😆😆😆
2025-07-17 06:13:42
2
shabnam.b.2904
Shabnam.B.2904 :
now this is what I call put all Ur stress on the side and enjoy every bit of Ur life true fun
2025-07-17 16:57:10
4
thumaahbaby
ummu zayn💙🩵 :
huu mchezo nilipigwa na mpira wa vinyonyo ndo vilikua vinaanza kukua nilisikia wazimu
2025-07-14 08:30:10
12
user171159218
…. :
Nimemiss kucheza huo mchezo😂
2025-07-16 11:58:11
2
moharika
Moh_Boo-Berry :
always wanted to shout, dudeeeeee!!!😂😂😂
2025-07-14 14:16:28
28
mwinyimumbo
Nurse Mwinyi :
hii ndio yaitwa nyuroo ama?
2025-07-19 09:10:39
1
true.ivy0
@true ivY :
Na bado kuna Wakenya wanaulizana mbn Tz 🇹🇿 hawaandamani… nyie mnajua raha ya uswahilini nyie 😭😂
2025-07-16 16:31:45
9
zuhurlly
zuhurlly :
oya pga kelel kwa mtaaa wetu
2025-07-14 15:33:27
6
user3416154987135
Serhanmumba :
halafu na nyinyi mda wote mnamuacha anadaka si uangalie makengeza au unamtishia na mpira akizubaa unamdunda🤣🤣🤣
2025-07-23 15:42:12
2
fatdnickname
nickname :
rudisheni meno ndani sasa😂😂😂
2025-07-16 14:33:39
2
chidyboy90
Chidy black :
mambo ya Ukunda south coast🤣🤣🤣
2025-07-26 14:58:00
1
asla0619
Asla😇 :
maskini ya Mungu kila siku nilikua msaidizi...😂😂😢
2025-07-15 18:10:32
2
wastararisasi
wastara risasi :
mtaa una raha huu
2025-07-24 07:54:47
3
salimmlocal
Mlocal salim :
Hakuna mambo haya siku hizi zamani hazirudi
2025-07-15 16:45:06
1
ukhty_faidha
ukhty faidha :
aliye wahi kucheza ii kitu tujuan apa
2025-07-18 09:27:34
1
simba_abdy
𓂀 𓄂ᬼ𝕾𝖎𝖒𝖇𝖆࿐ྂ :
Life is short, so don't forget to smile even in your silent battles. Tujifunze Amani Na Upendo , tujifunze kufurahia. Peace of mind is a treasure – protect it. Wakati mwingine si lazima kila kitu kiwe perfect, bali moyo wako uwe na utulivu. Take a break, laugh out loud, Na Uenjoy Na Marafiki and live truly. Maisha haya hayaji mara mbili... enjoy every moment while it lasts. 🕊️💫
2025-07-14 11:41:46
57
To see more videos from user @abdoulyhero, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About