nilimsaidia dada yangu nikawa natoa hela ya matumizi kama mimi ndo mumewe .. ikafika sehemu msaada ukawa ni kama haki yake.. kuna siku nilimwambia sina yaan maneno yalimtoka sana hadi leo hii atuongei huu ni mwaka wa tano😭😭😭
dugu ni mbwa kabisa
2025-07-17 07:05:52
5
mwalee :
kweri kaka
2025-07-16 19:34:36
1
zizuu :
unapotosha
2025-07-15 01:28:15
12
Mrs bataboy❤ :
mbona anawafndisha roho mbaya kaka zetu na wajomba zetu😏
2025-07-15 08:56:35
20
Angel msuya :
kwanza kwann kanisa zima livae nguo nyeus jiulizen
2025-07-18 09:20:39
0
salmamgalla22 :
huyo mke nindugu yako . siku akikuwacha na chupi yako tu ndio utajuwa ndugu zako wapo wapi
2025-07-17 17:59:11
1
mwajuma ❤️ :
💯kweli kabisa yamenikuta mimi
2025-07-16 16:41:48
12
Deo Bikra :
Nakukubarii sana IPM
2025-07-31 23:33:56
1
Lizziemorah :
mbona comment section mnajam hivi? I guess wengi went n malastborn wanangoja walishwe hawatak kujituma
2025-07-16 13:02:35
0
ksidi563 :
kama sio ndugu zangu kujinyima singekuwa hapa ,,,kwenda kabisa,,they denied themselves to be who im
2025-07-15 11:33:39
30
Barasa Barasa :
Ukiwa na uwezo,tenda wema nenda zako...
2025-07-16 06:51:07
13
Thomas Kawa :
Nahitaji kusaidia hawa wazazi Mtumishi
2025-07-14 08:05:36
10
Mchungaji Maria Mwita 🙏 :
baba naomba unfinished maana ya kufuja roho za ukoo
2025-07-14 12:25:25
13
Salome kweka 🇹🇿 :
Namuomba Mungu Anijaalie Angalau Niweze Kulipa Fadhira Kwa watu baki Walionisaidia Hata wao Walinisaidia Kwa Hali Na Mali Japo Hawakuwa Matajiri
2025-07-14 18:18:30
7
kaboborasta87 :
Sharap wewe ndugu kwanza ,sio wote Majini
2025-07-16 10:44:29
1
masubaru :
katika dunia kila jambo linatafsir nyingi usitoe hukumu moja katika jambo lolotr
2025-07-15 19:24:39
2
SFABH :
Kwl hii nimeona kwa baba yangu😔😭
2025-07-16 06:16:56
8
Mch, Japheth B, Dauson :
Aende aanzishe Uganga tuu, kumtumikia Mungu sio hivyo, na usalama wake aokoke, We, okoka
2025-07-15 17:05:54
3
Man kind :
uko sahihii kbsa
2025-07-15 06:03:06
27
KWIOO_GSM WATER :
kweli kabisa
2025-07-16 03:10:13
3
fizzoo nduu :
ni kwel lakin atuwez kukwepa kusaidia ndugu n kutoa ni moyo si utajur
2025-07-15 07:31:47
10
user87629682920335 :
na yenyew yamekza fuvu wakati watu tumesaidiwa na nduguu
2025-07-17 19:07:33
1
faith korikisaka :
ukwl aky ubarikiwe na uniomnee
2025-07-15 17:03:48
6
elias 8410 :
kweri kabisa
2025-07-28 04:13:35
1
To see more videos from user @prophet_ipm_, please go to the Tikwm
homepage.