@nurunaimani: MSIICHUKULIE DINI POA - SHEIKH AMIRI KASONSO Kujikumbusha dini pale tu mtu anapofariki au ndoa inapofungwa ni kuifanyia dini dharau. Huko ndiko kuifanya dini kuwa ya dharura badala ya kuwa dira ya maisha. Uislamu unataka tuishi kwa mujibu wa mafundisho yake kila siku – si kwa dhiki, bali kwa fahari, kwa sababu hiyo ndiyo njia sahihi ya maisha bora hapa duniani na huko Akhera. #nurunaimani #nuruyetu #mawaidha #UmmahMoja #mawaidha #dailyreminder #ijumaakreem #islamicvideos #amiri #amirikasonso