@tiktoknews_5_: Rema akutana na zombie muda sio mrefu wanatoa kitu… #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya #tiktokkenya🇰🇪

tiktoknews_5_
tiktoknews_5_
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 July 2025 00:06:36 GMT
162708
14640
451
215

Music

Download

Comments

grey.grey190
grey grey :
Dogo rema kampoteza patten Ila dunia hii😂😂
2025-07-15 08:09:04
226
bakari_1
Bakari :
Ila dogo rema mganga wake sio tapel kabisa 🤔
2025-07-15 14:07:40
107
user2151161362655
pondriano :
afu nyie washamba kama mnapeenda vya sukari sisi tunapeenda vichuungu tunamsapooti afike mbali akipeenda asiruudi kabisa
2025-07-25 11:44:43
0
c.o.l.l.i.n.11
🄼🄿🅄🄺🅄🄲🄷🄸 11 ☄️ 🏌🏾 :
Studio A ndo ya VIP studio B ndo hawa normal artists studio C ndo hawa wanao jump jump with no position 😂
2025-07-15 11:28:52
35
musa_joel
musa_joel :
me naomba kuuliza, ivi dar es salaam Kuna sehemu nyengine Zina baridi?🤣🤣🤣
2025-07-15 14:55:57
8
tok_tik714
B• :
kimasiara tu dogo rema anatuacha kwenye miogo na pilipili
2025-07-15 06:55:01
158
user8163099756701
samir hassan :
hapo mchezo umeisha zombi aminia
2025-07-15 16:08:51
8
evance.store.mwanz
EVANCE STORE MWANZA :
kama unamini dogo ameshalikataa jembe like hapa
2025-07-15 11:59:47
40
khatibubendera2
khatibubendera2 :
zombie atampika vizuri sana, Dogo safari hiyoooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wenye vijiroho 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-07-25 14:10:19
0
gpricetz
G_Price Tz :
nataka mdada asiependa hela
2025-07-15 22:08:19
1
elipidi.usi.oswad
Elipidi Usi Oswadi :
iv ujuwe doto abavyo sema iyo ela siyo utani kwer ela iyoo
2025-07-15 06:53:10
18
johnsamora4
Johnson :
kama una mkubali dogo rema like hapa😊
2025-07-15 21:41:22
31
blackmbojomusic
BLACK MBOJO MUSIC ✔️ :
MJUKUU WETU
2025-07-23 18:00:51
2
rey_imran
rey_imran :
kumbe dotto yupo serious😩😂😂
2025-07-25 08:23:35
3
jayohtz
Jayohtz :
daaah mungu hamtupi mbwa wake
2025-07-16 13:03:53
3
alafati53
Maya alafati :
msanii wadoto kafanana na ex wangu😆
2025-07-15 13:20:03
26
mbavu_used_spare_parts
Ally mbavu :
Sasa dogo rema ndio ananyota kuzid patten
2025-07-24 19:52:57
3
bouhkhan19
🦅Bouh..🕊️kh@n..❤️ :
Zombie ujue alikua anacheka moyon moyon ila ndo ivo anamuheshim doto
2025-07-15 09:03:04
28
samwelibenjamin59
Samweli Benjamin :
zombie apo kazi unayo studio kuandaa nyimbo na uyo mxanii,mana nina wasiwas na akili zake,unaez mpleka studio aimbe badala ya kuimba yy akaanza kuchez
2025-07-15 15:14:41
5
cygni610
Dreezy :
Kama sio unafki huyu huyu Zombi wa Haujui ety anasema Najua🤣🤣🤣
2025-07-15 15:31:22
5
user474339750450
AbdulSwalehe :
huyu dogo kaenda
2025-07-25 06:44:37
1
barakafrank806
Baraka :
kama kafika mikononi mwa zombie tutaacha kumcheka soon!?😁😅
2025-07-15 11:12:09
17
kingofwithdrawals
King Of Withdrawals :
Jump jump no position, hapa ni mwendo wa Hit tu😂😂😂
2025-07-15 06:15:50
10
calisah360
CALISAH🌍 :
Jump jump no postion 😂😂😂😂😂😂
2025-07-15 10:37:03
1
youngheritage3
gesimba heritage :
mm nafurahi sana watu wanavo mshika mkono ila tatizo la watanzania wakifanikiwa wanapoteza kumbukumbu meneja dotto hongera zombie hongera nandy wote mnao msapoti mungu awabariki
2025-07-19 16:32:21
2
To see more videos from user @tiktoknews_5_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About