@clementinecleem: Baba Na Mama by St.Martine Dr Porres Choir- Mwanza #catholicsongs #catholictiktok #clementineclem #foryoupage #catholictiktoker

Clementine Clem
Clementine Clem
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 15 July 2025 08:35:02 GMT
107831
4865
194
211

Music

Download

Comments

miss.martha92
miss martha :
Wale baba zetu walokwisha kutangulia mbele za haki tukutane hap😭 mtuombee huko mlipo baba zetu wanenu bado tunapambana 🙏
2025-07-15 18:40:52
77
user202223dastan
dr.kaniki :
kanisa Catholics nzur sana tulio batizwa gonga like
2025-07-16 09:00:34
25
goretti1_
Marya🍀 :
endelea kupumzika kwa amani baba🥲
2025-07-16 21:10:51
0
user2360604490795
user2360604490795 :
nimependa sana huu Wimbo nimesikiliza ma 10 you tube
2025-07-16 19:52:06
1
user9051257236155
Apple 🍎 :
sijawahi kuona hata sura ya baba yangu na sina ukweli kuhusu baba yupo wapi na anafanya nini daaahh🥺 Ila namuombea siku moja nije kukutana nae 🙏 🙏 AMENI
2025-07-16 03:49:38
7
neliakybl0h
Nelia Hizagi@ :
Hatimae nimepata wimbo wa kumwimbia baba angu ck ya ,,,,,,, au bas🥰🥰🥰
2025-07-15 15:51:35
2
paschaziajustine
pkazimili :
mungu nilindie baba yagu jmn
2025-07-15 19:11:40
18
user74904536587427
lyza wasima :
pu muzika kwa amani babaya ngu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-07-16 19:37:59
1
p..bernard
P. Bernard :
ishatoka
2025-07-15 19:03:12
1
user3045493401548
Sara :
r I p baba ang nakupenda uko uliko baba angu 😭😭😭😭
2025-07-15 19:44:33
7
nec1054
Naomy_outfit_collections 👗 👖 :
r.i.p baba angu 25yrs now😥😥
2025-07-15 19:07:54
3
vickyrevo12
vicky :
rip babaa endelea kupumzika kwa amani🤣😭
2025-07-16 07:14:27
3
philipophilipmas1
philipophilipmas1 :
wah, lastly sow my dad 2005,the song is so touching 💔, continue resting in peace dad😩😩
2025-07-16 05:30:29
3
agustino.mmassi
Agustino Mmassi :
jina la nyimbo
2025-07-15 11:07:41
1
bithea6
bithea :
Mungu nilindie baba yangu, walinde pia wababa wote wanaopamba kwaajir yafamilia zao wape neema ya uzima
2025-07-16 18:38:10
1
405kamary
Maxmillah❤️❤️🌸 :
I wish ningemjua who is my dad,,,
2025-07-16 05:06:06
2
ymar782
Mary23 :
I love him so much😍💔but he is no more, feeling empty everyday in his absence 😭😭😭sitawai heal...
2025-07-16 15:48:46
1
ijaofficial41
user48285474784972 :
baba yangu apumzike Kwa amani
2025-07-16 09:06:57
2
marydcute
Mamu_Tz :
mama👨‍👩‍👧‍👦♥️♥️
2025-07-15 20:15:30
2
rebecakapilima
rebecakapilima :
dah wenye Baba,zenu wako hai tambeni na wimbo huu si wengne tuzidi kuwaombea Baba zetu wapumzike kwa Amani😭😭😭
2025-07-15 19:12:12
5
silveriland
Silver 🌟 :
Kama upo chuo chochote ila ni campus ya SAUT, Au alumni gonga like humu
2025-07-16 17:43:47
1
annagian286
Anna Gian :
naomba huu wimbo wote jamani naupenda samahani lakini
2025-07-15 19:02:42
1
akiiev1
akiii evw :
jina la wimbo nimeupenda
2025-07-16 12:14:02
1
nai152
user87195134795807 :
kawimbo katamu jamani ♥️♥️👌
2025-07-15 18:32:52
1
mideva68
@mideva6 :
wenye tulikataliwa n baba zetu like my comment 🙏🙏
2025-07-16 08:27:33
2
To see more videos from user @clementinecleem, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About