@issa.baruti: Kwa nini wanafunzi wanakosa Chuo (Hasa Dirisha la Kwanza), sababu ni hizi...#university

Issa Baruti
Issa Baruti
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 July 2025 10:39:45 GMT
46218
1644
127
138

Music

Download

Comments

issa.baruti
Issa Baruti :
Part 2 hii
2025-07-19 00:32:24
0
richardshibiriti4
Richard Shibiriti :
😂😂 nenda ualimu🤣
2025-07-16 07:32:51
0
officialninga10
officialnenga10🕷️🕷️ :
mkuu naomba uongelee kuhusu watu wanaomaliza o-level na wanafaulu vizuri na wanaenda chuo cha kati
2025-07-17 20:27:45
1
neemakapuna
Neema [email protected] :
naomba ushauri nimesoma cbg
2025-07-16 17:58:26
0
e910166
Kim's kids 🥰💞 :
Kwan tayari madirisha ya kuomba vyuo yamefunguliwa?
2025-07-17 05:34:03
4
fransiskomatiya
user6550860721456 :
me natak linguistic nichague wap kaka
2025-07-16 03:54:27
0
0ffixal_ney
0ffixal_ney♥️🔐 :
mbn kama unatugusa😂😂🙌
2025-07-16 10:40:21
5
negroofficiall7
negro#Tz# :
diploma ndo wanaelewa wanataka nini
2025-07-16 16:06:55
3
ibrahimmasenge846
Ibrahim Masenge :
kaka naomba ueke njia ya kusoma na kufaulu vzr
2025-07-17 20:53:26
1
user1970609469680
Assier 27❤❤ :
naomba ushaur mkuu nimesoma hgk....
2025-07-18 17:08:20
0
mrtoofine
Mackmelody2 :
Mbona Mimi nimefanyiaa application stationary kwahyio nimepigwa
2025-07-16 15:51:39
3
master.tips3
MASTER TIPS 🇹🇿 :
kila mtu anataka kwenda dar
2025-07-16 11:03:35
9
user31265312204686
Sir tino :
form six wengi wanaangalia bland badala ya ndoto yake
2025-07-16 13:25:30
9
goxxemnicolodian
Go§§€€phnicolodian :
from six njoeni hapa niwape shule mtaumia vyuo vya Tz vina qualifications zake apart from TCU guide book ndio maana mnakosa vyuo na vigezo mnavyo
2025-07-17 07:39:14
1
miss_phetty
fetty classic :
umetugusa 😅😅
2025-07-16 18:27:42
1
shammiegod
[email protected] :
mimi ECA kaka ushauli wako plz
2025-07-16 22:22:11
1
elvinludovik
elv.gm God first :
post nyingine
2025-07-16 04:19:39
0
japhetbm610
mpwagajrtz :
uko sahihi kabisa na wengi hawasomi tcu guide book ya mwaka husika, madhara yake wanatemwa na chuo husika sababu ya competition
2025-07-16 13:25:16
5
brice1510
brice1510 :
I got it 👍👍
2025-07-16 17:17:31
1
derickdeus823
dez boy@ de great :
daah apo umegusa penyew kaka mkubw..
2025-07-17 16:42:30
1
issa.baruti
Issa Baruti :
Part 2 tushapandishaa
2025-07-17 20:03:10
0
user3199204205992
Malia sanga :
sorry kaka nifanyaje et nimesoma cbg naombah unishauli kaka
2025-07-16 13:44:22
3
el.fontez
EL FONTEZ :
bro I can't wait another post
2025-07-15 17:58:48
4
edinagrayson0
dinah :
ushauri ni vp
2025-07-16 15:45:00
1
_.roxyb
_.roxyb :
yaan me. ndo nisha apply vyuo sita vyote n vya dar na kozi ndo kwanza nmeziona huko TCU
2025-07-16 16:06:46
3
To see more videos from user @issa.baruti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About