@jkizondo_swahilibites: AMU…..SHESHE ODAA ‼️….. SWAHILI WOMENS NIGHT‼️ In shaa Allah TUKUTANE AMU TAMU THIS SATURDAY July 19th 2025 LAMU POLYTECHNIC 7pm to late…. ENTRY FEE 2k Dress code KHANGA/ LESO attire!! LAMU SWAHILIFOOD NDIO KUSEMA….. can’t wait to see yall in shaa Allah… @Shunnee Abeid MPANGO MZIMA JIKE LA MASHUGHULI…. #jkizondoswahilibites #lamu #lamutiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers #culture #women #fyp
JKizondo Swahili Bites
Region: US
Tuesday 15 July 2025 12:25:43 GMT
Music
Download
Comments
princess Hawaa :
🥰🥰🥰igekua Mombasa nigekuja
2025-07-15 19:16:56
5
Diva :
tickets wanunua vpi
2025-07-15 20:31:19
5
Owani Joram :
the kiswahili is too complicated can be understood by tanzanians and zanziber only
2025-07-15 15:38:26
16
shhhh! :
hio 2k waje wale tu ama waje waangalie nn cha ajab..
2025-07-15 21:55:15
3
User282736484 :
Munaiweka mbali ingekuwa Mombasa hapa Fortjesus ingekuwa powa sanaaa
2025-07-15 15:55:23
6
ummu_habibaty :
si kiamu hicho 😂😂😂 basi hayaaa
2025-07-15 13:14:16
0
user5576025563281 :
kuja kwa ninja inafaa
2025-07-17 07:02:01
0
London🫦 :
I love swahili culture ... bt can't afford to be in one 🥺
2025-07-16 12:56:11
0
FREE FREE PALESTINE :
shesheeee Ni odaaaa... amu taaaamuuu
nchu nkwavo
2025-07-15 17:16:04
1
montanaa :
shunie abeid for women rep 2027💪💪💪
2025-07-15 14:55:04
4
tosh :
2k inasmamia hadi umbea msisahau
2025-07-17 03:05:22
1
Fadhila Kizondo :
msalimie anty
2025-07-15 15:35:39
0
moonlight znz :
njoo na unguja kipenz ❤️
2025-07-15 13:29:45
3
Zakaria Ahmed :
I saw you in Marketi and I call you Mama Bajia 🤣🤣🤣 www mamako Leo
2025-07-15 14:23:32
8
faith :
naja kukuona ww tu Jamila maana navyo kupenda hujui 😍
2025-07-15 20:51:11
3
dubaicolletion1 :
MATONDONI KARIBUNI SHESHE ODER 🥰❤️
2025-07-15 15:43:53
3
ummu_muunisa12 :
twakusubiri dear kwa hamu na ghamu
2025-07-15 13:52:51
3
@SWEETMAMY :
basi haya
2025-07-15 13:11:30
1
Khawla001🦚 :
aunty Jamila umenichekesha hadi nikanyamba😂😂😂
2025-07-15 15:08:24
2
Shuthaaa :
She she oda sherehe sheria😂
2025-07-15 16:45:38
1
Shiro :
Anglia vile umekuwa mrembo...home is best!
2025-07-15 16:26:17
1
moghaa zidane :
Masha Allah, you never abandoned your culture 🙏🙏
2025-07-15 14:35:51
1
Amama Hamida :
twajaaa jamilaa
2025-07-15 19:29:09
1
🏝💖Island_gal💖🧿🏝🩵 :
Amu tamuu
2025-07-15 13:03:43
1
Nazleen :
kwani kupendeza shangap 😎
2025-07-15 14:45:53
0
To see more videos from user @jkizondo_swahilibites, please go to the Tikwm
homepage.