@fredomachoka: For those Rhumba lovers..... Choka na Maroon Commandos!!!

fredomachoka
fredomachoka
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 15 July 2025 15:38:27 GMT
113044
5138
161
417

Music

Download

Comments

mponda2023
user946694361801 :
uncle hii ni ulinzi band ama ni utawala jazz
2025-07-18 18:55:39
0
ndegendege
Ndege Ndege :
Huyo mkisii wa katikati bwana Otukia Kenyanya amesahau nyumbani
2025-07-16 06:04:03
3
bintimicheal
kairitu ka Michael :
wazee wa kitambo mlikua hamuezi enda Kona Kona kujibu mtu,mnasema tu ukweli
2025-07-18 05:07:08
0
spacetodayke
spacetodayke :
alafu kuna ile waliimba "Sofia umewacha eeh watoto wako x2 watoto uliwazaa kwa nini uwawache eeh @x2"
2025-07-17 08:20:08
0
user3593152053058
Benson muendo :
kuna yellow card Man united wamepewa
2025-07-18 19:30:02
0
duncankipkoechlangat
Duncankipkoechlangat :
Original Maroon commandos hapa. Kama vile akina Major Kibe wakiwa marehemu Abel kifoto na yule alafinya naondoka naenda safari (pia ni marehemu). Asante fred kwa kuleta hii original band. 💯
2025-07-16 05:40:38
22
josephatomwae
JJ.BARAKA :
to😂🤣😁😆 aki sofia ni wengi
2025-07-16 21:45:17
0
lucy.kim18
Lucy Kim :
when the music was..
2025-07-17 23:08:08
0
bm.bonnie
Bm bonnie :
inagonga adi kwa kisogo
2025-07-16 18:47:25
0
user9851495600199
Mwanangu Frank :
the legend voices, the voices tht will never fed they reminds me of the late Abel kifoto mdawana wa kedu aiii
2025-07-18 07:40:24
1
senator.aliyetimu
senator aliyetimuliwa :
😂😂😂😂😂😂wakati unataka kukaa pekee Yako ukitafakari maisha Yako .....what a song
2025-07-17 18:15:38
3
user37147399542234
lopez :
nawapenda sana
2025-07-16 18:45:11
0
biafrasofia
Biafra sofia :
kwamba hapa nilipo nilimuoa mwingine hivi majuzi weweeeeeeeee
2025-07-16 05:55:11
1
peterkathengi
@PK :
Uncle Fred,,moto kama paaasi hapa na The Maroon's...Karibuni kitui mfanye kitu
2025-07-17 05:00:12
0
pioneer.star.acad
Pioneer Star Academy :
👏👏👏, when music was music🥰
2025-07-16 12:44:06
0
cute5gmailcom
Rael :
Nimeona Fred mwenye Rhumba 🥰
2025-07-16 22:29:12
0
user5856159914088
[email protected] :
when music attends group of schools
2025-07-16 06:26:22
24
mutaijj21
CHELSEA DAMU :
kali sana inaingia mpaka mizizi....
2025-07-16 19:13:37
0
user9621274187134
Mwalimu Mogoa Gwaro :
otukia fila kisii wacha kuolewa
2025-07-17 04:43:51
0
eddshikhuvi32
Azdak of Nuka :
Huu wimbo wanikumbusha 2009 tukiimba zilizopendwa kule Mombasa.
2025-07-16 18:43:30
2
sergeant00010
SERGEANT001 :
the maroon rhumba kings ,,,,pace setters
2025-07-17 03:11:34
0
gracekimiri
gracekimiri :
salimia otukia sana
2025-07-16 17:39:25
0
son.of.british
son of british :
maroon comandos bado wapo juu
2025-07-16 18:42:18
0
john.hensy
john hensy :
hapa ukiwa tu place chilling na kutusker baridi harafu kachoma soft
2025-07-16 12:45:39
12
clintonlukale1
Clinton lukale :
Huu wimbo unanikumbusha class 4
2025-07-17 15:02:39
0
To see more videos from user @fredomachoka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About