@cielo_fantanilia: Zote hizi ni halali Husikubari mtu akuombe pesa ni BURE..mtanisamehe kwenye sehemu niliyotamka website vibaya but nimeziandika Ili iwe rahisi kuzipata bila makosa yoyote😊#tiktoktanzania #jobs #diaspora #workabroad #fyp
hongera mimi nimefanikiwa kuomba kampuni 15 nimepata interview 3 wamenifanyia kutumia video interview, kikubwa zingatieni CV ziwe katika muundo wakimataifa pia uwe na cover letter,nzuri na zote ziandikwe kiingereza kingine ujue kutumia email vizuri.Soon mtaniona Ireland 🥰
2025-07-15 19:32:50
84
congoa barber shop :
nitumie number yako dada yangu
2025-07-15 18:25:32
1
MR GENETIC 🌹♥️ :
🤗, sahamani dada kwani hata kama ukiwa na diploma in certificate unaweza ajiriwa au mpaka uwe na degree e.t.c.
🤔?
2025-07-16 08:18:40
1
Bocha junior :
web site ya scholarship ya kusoma Ulaya
2025-07-15 18:12:55
1
BornToLead254 :
Australia lazima uwe wajua lugha yao?
2025-07-17 02:45:01
1
briddenchali :
Asa😏 sana
2025-07-27 03:14:25
0
Edgar Ragira Osoro :
hi
2025-07-15 19:43:59
2
chia :
vipi masharti na umri, kindly nijibu,rafiki
2025-07-17 08:31:03
1
__chef__hamity :
Dada hivi ukiwa na hiv unaweza Pata kaI
2025-07-18 15:01:08
1
nyakwar sewe :
nauliza aje dadangu qualifications ni Gani asn kielimu