sawa🙏mzee umenikumbusha mbali sana kunamwamba anaitwa s mvano
2025-07-17 21:36:25
3
Ben :
huyu mwamba n maji tu humsumbua.but ako fiti sana 😂
2025-07-18 20:04:01
0
Luca :
hongera sana kaka unacheza key gani?
2025-07-17 19:17:01
3
Arati :
huyu mkuu🔥🔥🔥🙌😂
2025-07-18 23:18:38
1
thom mayunga :
yaani sijuagi kuna nn katiya hawa wapiga kinanda wazoefu na pombe yaani kama ba mdogo wangu😂😂😂🤣🥺🥺🥺
2025-07-18 16:55:38
3
Salshij :
jameni melody za kimalaika...☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2025-07-18 20:18:54
1
David Kimani :
mwamba kweli,he is able to split his mind and direct each hand and legs differently, this is a true talent.
2025-07-18 08:30:24
1
YOHANA SEKWA :
Mwamba JOSEPH KANIKI tunao kujua hatushqngai
2025-07-18 16:57:35
1
Canvas_tz :
Hapa ni Korongoni Parish?
2025-07-18 12:01:07
1
lothmtunzi8 :
Maana halisi ya mwambaa
2025-07-16 14:37:36
4
Badyanga Mk Jr. :
kuna hili swala la waalimu wazaman na kamnyweso aise sijui ikoje nimetembea mahali pengi ndo wako hivi jamaa unakuta wanajua mziki hatarii lakini kwenye maji huwatoi
2025-07-19 00:57:34
0
Frank_nails _ :
jamaa anajua mpaka anakela
2025-07-18 11:09:23
1
denismatteru :
Nafsi za mbingu , souls that belongs to heaven ♥️🔥
2025-07-18 23:11:30
0
steve Mdogo :
Kaniki mwenyewe napenda setting zake
2025-07-18 23:34:35
0
Nyuoh John :
There are people really gifted with certain skills 🥰
2025-07-18 22:26:43
0
Thomas@hobby :
Jama huyu fundi kweli ✓✓
2025-07-18 21:00:27
0
John D Gurty :
duh?
2025-07-18 22:35:37
0
Collis Adorf :
ila walevi mna nn
2025-07-18 21:44:58
0
Organist Newton KE :
anaitwa Kaniki Mamba 🤣🤣🤣🔥
2025-07-18 18:12:32
0
user4043428674052 :
nimeipenda sana,,
2025-07-18 21:06:10
0
Marcello Omuttaha :
Hakuna mtu anfikia Kaniki
Huyu ndiye mamba bila mix
2025-07-18 18:37:07
0
marrykaria :
mwalimu wangu mawela parish
2025-07-18 18:41:10
0
Prince :
Hii ni kufuru Hakiii 😂😂😂😂😂 Dah
2025-07-18 20:10:53
0
IbrahPS :
Na hapo ni hajaonja😅
2025-07-18 14:08:33
0
To see more videos from user @odasiuspaschal, please go to the Tikwm
homepage.