@userruhena2:

userruhena2
userruhena2
Open In TikTok:
Region: QA
Wednesday 16 July 2025 11:54:46 GMT
535644
7941
156
4191

Music

Download

Comments

fadhestq
fadhili@12 :
Unae soma comet hii muda huu mungu akubaliki🙏
2025-07-17 20:53:48
68
sharifahamidu128
Sharifa Hamidu :
bora upate tajili ukichuma ukimaliza unaondoka kuriko kupata masikini alafu manyanyaso kibao
2025-07-18 04:31:10
5
zuhurasimon
ZUHURA&JOY :
kwaiyo tufanyeje
2025-07-26 12:44:45
0
rahmamasalu23
rahmamasalu23 :
mimi wakwangu nimnyenyekevu mfukoni ki2 kipo ananipenda sana nyie wanaume wapo sema ndo kumpata kaz 🥰🥰
2025-07-18 04:43:19
15
swafat.said
Swafat Said :
ukipata maskini limalayaaa n hela linahongaa nautakufaa njaaa😏😂
2025-07-17 13:41:36
4
dogorema2003
dogo rema fans :
akuna mwanaume msafi ukitaka msafi msafishe...na wanawake wote ni mashetani ukitaka malaika mtengeneze...🙏
2025-07-18 08:19:55
3
queenlione17
Queen Leo :
nikweli ila tajiri mwenye hela nihashimishwa tu na pesa anazonipa😆😆😆
2025-07-17 14:22:06
1
jowelellah0
Jowelellah :
Ni uwongo kaa na mungu vizuri
2025-07-17 15:39:39
1
saidi.herry.mduma
Saidi Herry Mduma :
mina ki2 ila nikipenda napenda tena napenda kumdekeza ila ukiniomba hela nageuka nakuwa kinyonga
2025-07-22 02:16:00
0
user5678075025469
Aminaa :
Sasa tufanye nini jamani?
2025-07-17 09:03:21
1
ridhwan.nusura
Ridhwan Nusura :
Bora ni mpate mpishi 😂😂
2025-07-17 01:27:00
0
mayrah742
mayrah :
bora tajir angalau utakua na pesa
2025-07-22 17:01:08
2
user6676620909597
Flo Flora :
hiyo nayo nikweli ..maanayake uchungu wa mwanamke atakuana machungu sikuzote😅😅
2025-07-18 04:27:37
2
mclizzybeth
SHABIKI MAARUFUMClizzybeth :
ni kweli kabisa apo tumpate mwenye upendo bola asiwe na pozi ila anipende kwa dhati
2025-07-21 21:37:51
1
user2779681074737
user2779681074737 :
uko sahh nimeuona kbsa mgao wangu hapo
2025-07-17 16:15:09
2
husnakiloli
Husna Kiloli :
naww hapo ninani😅😅😅
2025-07-17 18:03:35
2
slyviaatin
Baby Slyvia🥰 :
Yaan kweli kabisa 😅 tena Kama hana muda kabisa busy na kaz
2025-07-17 15:47:43
1
user3370508007442
Flo's salon 0110258688 :
na ivyo ndivyo ilivyo
2025-07-18 07:03:27
1
aishaalhabs
4S bby loves :
kweli kabisa maneno yako
2025-07-17 11:59:38
1
mrs.msafiri7
Mr's Msafiri :
kweli kab is a💯
2025-07-17 12:48:52
1
raza.issa
Raza Issa :
Uwo ndo uhalisia wa maisha,chagua kimoja kati ya hivyo
2025-07-17 19:02:41
1
abdallahmaulid813
BABA SAMIRI :
😂😂😂😂nipo Mimi kilaka😂😂😂naziba Kila kitu
2025-07-17 12:27:49
1
user6781905837660
joyka :
very very true
2025-07-24 17:35:14
0
fatumadzarino6
chibaby :
naikubali hundred %
2025-07-24 14:30:26
0
muchiri.jnr
Muchpax :
wow
2025-07-19 10:14:20
0
To see more videos from user @userruhena2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About