@habari24media: Nilishauri kuhusu Utekaji wakafunga kanisa, sasa nimeshauri kuhusu reforms sijui watafunga nini tena - Gwajima

Habari24
Habari24
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 July 2025 13:37:14 GMT
122140
4957
370
270

Music

Download

Comments

benminde5
ben minde :
watakufunga mdomo wako ili usiongee tena pumba we reform unaijua wew em acha kutuvurugia amani yetu bhan
2025-07-16 15:52:41
8
frankyohana410
frankyohana :
HII NCHI NI NGUMU SANA YANI TUNATETEWA ILA BADO TUNAMPONDA HUYU MZEE
2025-07-16 19:27:26
10
user8026338537614
Stephen :
mtumishi wa mungu tuseme amina
2025-07-16 21:07:10
0
ibrahim_kinabo
Ibrahim :
Upendi amani ya nchi wewe pumbavu zako..
2025-07-16 18:08:09
5
bakari.abeid
H,w :
wewe tapeli mzoefu
2025-07-16 16:43:00
3
babroma2020
BABROMA :
GWAJIMA JIELEWE, KANISA NA UDINI USIKUPELEKESHA UKAPITA KIASI. WEWE SI UMETOKA CCM? KWANINI HUWEKI AKIBA YA MANENO? FIKIRIA SANAAA KABLA HUJATENDAAA
2025-07-16 14:55:11
12
bestkatunzi
SIKU ZA MWISHO :
NEEMA YA MUNGU IWE PAMOJA NA WEWE USOMAYE UJUMBE HUU. 🙏🏽
2025-07-16 16:51:41
28
sam845796
Sam :
Inachekesha kuona vizee ama vijana wa chama cha ccm hawa vii baiskeli na t-shirt unatukana mtu ashatembelea hadi V8 na donge nono bungeni ccm katoka na kajielewa unamtusi???😂😂😂
2025-07-16 17:17:04
7
kanudayohana
kanudayohana :
gwajima pamoja sana
2025-07-16 20:04:27
0
daniel.ryoba8
Daniel Ryoba :
nimesoma comment nikaona naweza nikatoa matusi ambayo hayana mipaka watu hawana akili mwenye hakili anaonekana hana akili mbele ya watu ambao hawana akili
2025-07-16 17:27:58
3
michael.gilasi
Michael Gilasi :
WATAFUTA MAKANISA SIO KUFUNGA TU
2025-07-16 17:24:26
1
user7192725928113
maboga maboga :
mbona unakuja mitandaoni wambie wabunge wenzio au nend ikul kiufp mm cikuelew
2025-07-16 16:07:34
1
mddlemapesa77
middle master :
Kiufupi gwajima sichoki kukusikiliza wewe ni mtu
2025-07-16 18:28:08
3
bn2536jewelry1
BN :
sasa hapa umeeleweka no reform no election
2025-07-16 17:16:36
19
michaelpeter8902
michaelpeter8902 :
wewe pia muhuni gwajii boy
2025-07-16 16:51:13
1
jennifer.amande3
Jennifer Amande :
lamda watafunga misikiti
2025-07-16 14:55:26
22
mussagaini306
Lookman. :
tupo nawewe adi wakupoteze
2025-07-16 15:55:47
5
mchuziwanyoka
Nassor mchuzi :
hii ni chuki tu wala sio uzalendo ukiwa na Akili utakumbuka uongoz wa magu uniniunga mkono [uyu alikuepo kipindi cha Magu]
2025-07-16 18:35:22
1
mtunguja_family
Mrs john :
tupo pamoja na wewe baba MUNGU wa Mbinguni akutie nguvu
2025-07-16 18:05:09
6
user4846706185823
A21J🚀 :
Utafungwa mdomo 🤣🤣🤣🤣
2025-07-16 15:43:09
3
fm4482
FM :
ngoja tumsubir pole pole na yeye kesho
2025-07-16 17:47:20
1
user157140331099
digon :
ulishauri ulidictate mambo kama vile nawewe una madaraka kupitia kanisa lako acha ujinga jitqmbue😂😂😂
2025-07-16 17:08:26
2
sagetti96
S A G E T T I -enix :
Watafunga shule😜
2025-07-16 15:38:31
6
monic6650
monic :
baba njooo chadema tukupe kura utashinda kwa kishindo🥰
2025-07-16 17:51:49
2
kwalalumpa.man.lu
Kwalalumpa Man Lucas :
huyu ni mtumish lzm awe msema kweli
2025-07-16 18:36:22
2
To see more videos from user @habari24media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About