@wuodkanoh: if Rihanna is a dedicated wife to someone what about you shikwekwe na standard zako za takataka #fyyyyyyyyyyyyyyyy #nairobitiktokers #fyp #kenyanpolitics #creatorsearchinsights #capcut_edit #rihanna

Wuod Kanoh ✅️
Wuod Kanoh ✅️
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 16 July 2025 17:40:43 GMT
904668
64462
7980
8785

Music

Download

Comments

user2414463344955
Sweetshazzy :
kama huyu mxee amexema ukweli gonga lyk 2kixonga😂😂
2025-07-17 04:03:15
4951
faizakassim1
user7929300350493 :
siwez haribu mbegu yangu kwa mwanamume mkenya😅😅😅😅
2025-07-17 03:54:43
323
user9650901754106
@sawadi khagz :
izo ni vichura Gani umeeka kwa vidole wewe
2025-07-18 22:23:13
0
kirinyaga.finest7
kirinyaga finest :
huezi toshanisha real Men in US na hizi mbuzi zetu
2025-07-17 07:40:57
960
jonpuppi2
Jonpuppi :
huyu mseee apewe security
2025-07-17 06:46:18
762
stacynzambi
STACY❤️ :
kujeni tulikiane 5 videos
2025-07-17 04:21:13
163
brettah.mwikali
Bree :
ulimuona wapi akipikia bwana😂😂😂
2025-07-16 18:21:08
714
paulinemuthoni47
poly :
Rihanna's hubby is also a millionaire, tuachishe wewe
2025-07-17 14:46:07
38
wasted0432
Mr. yuut :
Kababa kwani umeachwa
2025-07-18 20:34:54
1
charitymuli
chacha🤎 :
the way I'm praying Na kutamani kuolewa Aki mungu skia maombi yangu Na unipe mume
2025-07-17 06:33:48
68
006sweetheart
Coast finest 🇰🇪 :
She's very humble by the way.. I respect her for that
2025-07-16 19:35:35
855
christine1tiktok.comchri
Christine❤️ :
Nani anataka tulikiane video na follow?
2025-07-17 06:00:09
42
aminabintihassan
Amina Hassan :
we wachana na sisi😏😂
2025-07-16 17:58:26
138
sweetphycho004
Ẽļǐǔď😜😜 :
: @😜😜: Nani anataka tulikiane video😂😩🥰 reply done
2025-07-16 20:27:34
20
breezy_fashion
BREEZY💰 :
Neno moja kwa panya buku 😂😂😂
2025-07-16 20:40:54
95
nyar.otili8
ANJELINE OTILI. :
mm natamani ndoa saaana 🥰🥰🥰🥰
2025-07-17 05:01:00
29
nixonjuma1
nixon :
hapo kwa panya ongezea konokono😂😂😂
2025-07-16 20:26:03
22
mummy955
Tatiana 💗 :
me ata npate 2k per month si olewi na sizalii mtu ng'o😂😂😂
2025-07-17 01:20:23
18
phinamakena
phina makena😜 :
ukiolewa n mkenya umebant😭😂
2025-07-17 07:51:06
47
user4842730061584
jenny user4842730061584 :
aki wewe utatumaliza na kicheko😂😂
2025-07-18 11:51:31
7
amhappy79
happy 254🇰🇪 :
nani anataka tulaikiane videos comment done na nitalike back 😂😂
2025-07-17 04:56:45
8
janemwende098
Jane Mwende :
Ghai panya buku🤣🤣🤣🤣
2025-07-16 17:49:01
317
whitney77kenya
Whitney P@rtel :
😂😂😂😂😂 eiiii hii haina comeback walahi
2025-07-17 19:51:12
8
mamake5989
Mamake :
Rihanna nikama hana Akili mzuri😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-16 18:07:24
234
maggiezbrillianma
maggiezbrillianma :
Nani azalie wewe,, atoe mtoto anakaa stevo simple boy,,, imagine hii sura yako kwa clinic,, mtoto anachapwa ovyoovyo shuleni, kaa na advice zako.
2025-07-17 08:21:38
14
To see more videos from user @wuodkanoh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About