@raff_house.tv:

RAFF TV📺
RAFF TV📺
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 16 July 2025 18:13:32 GMT
898333
33629
3397
5973

Music

Download

Comments

centy8558
centy💗 :
judge akona nguvu juu mimi naweza mrukia na Kofi moja mzuri😂
2025-07-16 19:20:02
2338
cvint_mahde
Mahde😂😂😂😂 :
Mtoto mijngas kama rais wake 😂😂😂😂😂
2025-07-16 18:37:06
1562
rkimberly254
Rkimberly :
Birthmark pia sio yake,,,,ameekelewa
2025-07-18 12:29:01
0
regina6943
regina6943 :
hata mimi nikiangalia vizuri si yeye, wanataka akubali ni yeye na si yeye kwa nini.
2025-07-16 19:40:59
10
princessjackie42
Empress N Jacque :
suit yake ya takataka
2025-07-18 06:56:11
0
julius.muchiri6
Malcolm X :
huyu anaelekea Kamiti😂😂😂
2025-07-16 18:42:57
38
reggie_reg_2020
Reggie :
judge is like 😂 unatuona kama matako zako 😂😂😂😂
2025-07-16 19:23:03
316
user4163904425333
Stephano✨ :
ety huku mshaaza kubook bibi take🤣🤣🤣😁,,wachinga nyie
2025-07-18 02:06:49
1
mah._mrs
🅽🅶🆈🅼🅰🅷_🅼🆁🆂✨ :
nilidhani wanaume ni sisi tu huwa wanaruka kumbe wanaweza jiruka😂😂
2025-07-16 19:33:54
253
sibuor.madhako3
Lioness🐕 :
Anajiruka ,,sasa akishakataa kabisa sio yeye kunaenda aje
2025-07-18 19:27:30
0
skydiamond001
sky Diamond :
walai mi ningekua judge ningeanza kucheka..😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-18 13:23:20
0
aidamin337
Skye 🌌 :
Baby mama wa Huyu anakapitia 😂
2025-07-16 18:58:09
49
captainmorris2
Captain-Morris :
To survive you have to denial everything 😂😂Jamaa si fala amepewa clue na lawyer wake
2025-07-17 20:36:01
0
kennethnduati62
Jambo Kenya :
Not remorseful at all
2025-07-18 03:14:10
0
witsel.moh
GENERAL FUJITA :
The case is still complicated because the accused has denied himself.
2025-07-16 19:12:01
28
jeikei1550
Jeikei1 :
huyu akakana ata jina yake 🤣
2025-07-18 14:37:47
0
theechef7
theechef :
mnipee rungu na msonge nyuma
2025-07-16 23:14:12
44
happyson102
HAPPYSON_KE🇰🇪 :
ukifika hapo kataa kila kitu
2025-07-16 21:27:27
11
charoo033
charoo033 :
wueh, huyo atakataa hata mtoto wake hadi DNA
2025-07-17 17:45:35
0
betty_bella_
@Betty :
Huyu amekataa vile majamaa hu deny wakipatwa red handed waki cheat 😂😂😂
2025-07-16 20:08:49
9
i_am_jbest
Jbest✅ :
Lawyer wake alimwambia akatae kila kitu hadi jina yake😂
2025-07-16 18:45:14
3145
sharonmwasi
Pŕèttÿsĥèè🦋❤ :
amekataa mpaka birth mark 😂
2025-07-16 20:07:23
307
justmaulid
Maulid.. 🇰🇪 :
Hii ni episode gani ya Vioja Mahakamani? Na akina Makoha na Ondieki wako wapi? 💔😁😁😁
2025-07-16 19:14:41
63
hellenmoraa9
MAMA SHANTEL ✨ :
Ameona hiyo sura niyatakataka siyake
2025-07-17 22:32:02
1
the_amaizing_lola
the_amaizing_lola :
Amesema ata hio birthmark iko kwa uso yake hajawai Iona before😂😂😂😂😂😂
2025-07-16 19:04:33
377
To see more videos from user @raff_house.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About