@mr_eveerything: 😂😂 sasa nina uhakika wa kula vizuri wiki nzima, na ww kama unataka kula vizuri nenda @Pizza Hut Tanzania ukachukue package ya MELTZ, it’s crispy cheesy loaded kwakweli ni tamu balaa @Devotha Bahati @George's Kitchen @PERFECT😱 @KINGO_👑 @_Junnyblvck #swahilitiktok #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪
shida katoka chooni ajanawa kafika anakula shangazi ni mchafu😂😂
2025-07-17 09:40:41
28
mom B ❣️ :
mi sijuhi kiswahili ila hii nyimbo kaimba zuchu
2025-07-17 12:43:22
2
Hamiyda :
uyo alie zimia ndo amejua kunichekesha😂😂😂
2025-07-17 06:23:30
146
Hakuna Matata :
@Hakuna Matata: I am happy as far as you guys are coming together and supporting each other to make these contents brothers najua sio kazi ndogo asee ila the love and support you show to each other to make this possible for us man! i appreciate kwa niaba ya Jamhuri!
2025-07-21 21:13:50
3
Abdul Bashiru Ostadh :
Ni mwaka sasa umetimia tangu mama mmoja anitoe kwenye foleni ya chakula akidai nimeshakula tayar🥺😒😆
2025-07-17 16:35:06
28
Magician Kid :
mr everything unasoma chuo gani??
2025-07-17 06:27:30
4
head current :
apo jiandae kuungwa VIP
2025-07-18 17:27:32
2
KINGO_👑 :
hii style ya kucheza nilifundishwa lisaa🤣🤣🤣
2025-07-17 06:34:15
7
farida :
KIUKWELI MIE MWENZENU NAPENDA KUTOMBWA BILA HURUMA🙈🥰
2025-07-18 02:24:32
6
Herieth Pallangyo :
yan hawa wamekutana, ni kama pipa na mfuniko haki😂😂😂
2025-07-17 12:17:37
25
neutral girl :
ila jmn mnavyohamasisha mishangaz sasa🤣🤣🤣🤣 vijana watajisahau kutafuta hela jmn
2025-07-19 06:47:16
1
Cutemumu52😍🦋 :
😂😂😂 kuna huyo alozimia jaman mnyanyueni😂😂💔
2025-07-18 08:28:03
3
fathiyaadam912 :
Najisikia mafua yamenibana roho inauma kama hiyo pesa nimetoa mimi 🤣🤣🤣mnawenzaje jamani 🙌🏼🙌🏼😭
2025-07-17 12:48:39
10
It's rosebell2😍 :
Mshangazi hauna maneno meng n sasampa tu🤣🤣
2025-07-17 08:27:07
2
Otieno D B :
Hizo ni mafifty wanafurahia ivo ama macho haioni vizuri
2025-07-17 14:34:48
5
Ally Banza 🍃 :
😹 HIZO HELA BORA UNGEPEWA MWENYEWE TU
2025-07-17 07:44:51
5
💙아스마💞 :
wa pili leo naombeni like zangu kwa mshangazi wa uwakika😂😂
2025-07-17 06:18:53
17
user8841618380078 :
nahuyu mpishi mmeshamuingiza huku🤣🤣
2025-07-17 10:17:50
4
ba jak. :
joji bdo aamini😂😂😂
2025-07-25 08:15:19
1
sabrinah :
mishangazi ipewe ulinzi jmn wanajua kulea me babaangu mdogo amempata bn wee acha kabis amelekebisha kila kitu ndani kumekuwa kwa kisas pesa ndo usisem
2025-07-19 19:22:44
3
🦋 :
Like picha zangu tano na mimi nilike zako tano🥰
2025-07-18 08:13:47
3
gjmwaija :
kama ni kweli ndo maana mishangazi imechukua vijana wote kudekezwa Raha bhna ee
2025-07-22 15:39:56
1
olabecka🌺 :
hahaha uyo aloanguka apo chini uwiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 au kazimia kabisaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-21 13:18:26
1
Miss LeLe💜✨ :
kwahyo umejionaje hapo bobui😎🤌🏾🥱🥱🥱
2025-07-17 07:30:15
3
Jeyparis :
PESA NYINGI IVO MNAAZIMAGA WAP AU NYIE NIMATAJILI WATOTO
2025-07-20 16:07:36
2
To see more videos from user @mr_eveerything, please go to the Tikwm
homepage.