@tc_fashion_hub_ncc: Always go for a rubber unbreakable suitcase as check-in luggage Features *inbult TSA lock and double zipper which Makes the suitcase secure. *its unbreakable *waterproff 💦 *very spacious *rubber wheels which can be used on rough and smooth surface. #suitcases #suitcasenairobi #nairobitiktokers #foryoupage❤️❤️ #foryouu #foryouofficial #suitcaseplugnairobi #traveltiktoks #travelaccessories #creatorsearchinsights2025 #fyp #kenyantiktok🇰🇪
TC FASHION HUB - NCC
Region: KE
Thursday 17 July 2025 11:52:05 GMT
Music
Download
Comments
Lady J🌹❤️ :
huwezi haribu bag nikunyime like
2025-07-17 21:49:21
1383
Paul scoles :
ikiwaa imeharibika ivyo ni how much
2025-07-18 04:37:10
638
Morry Bobo :
let make her go viral. she's so genuine
2025-07-17 22:05:03
519
Jose mukush :
mm Sina hata moja na umebomoa hiyo ya purple nitakuja na bei nusu
2025-07-29 11:09:51
1
Crucial Junior :
"Cameraman waonyeshe colours" but cameraman is still traumatized by the damage not moving
2025-07-27 10:57:33
26
Queen 🌺of the🌷 South ♥️ :
aki unafunza wezi kazi 😭😭😭
2025-07-17 22:00:02
18
Keyshia Bobby :
usiharibu ingine tutakuja tu kukununulia
2025-07-18 05:19:45
568
pamt :
zikiwa tatu ni how much hiyo rubber. suitcase
2025-07-17 19:24:26
2
Nancy Nancy :
3in 1 ni how much
2025-07-17 22:00:50
2
Lewinsky :
hi madam
2025-07-29 07:38:25
2
DALTON K :
eti umesema check in luggage ni mzigo inaenda wapi😂😂😂 hapo umetubeba
2025-07-29 14:44:34
0
Love Child🤍✨ :
si sasa utwambie hiyo rubber 3 in 1 ama 5 in 1 ni how much naitaka Kakamega
2025-07-27 06:41:32
3
Kababa🥳 :
mwizi haitaji kugonga ba g anaitaji kuiba bag mzima 😳
2025-07-27 08:11:53
3
Chosen Blessing✈️ :
hizo tabia ziko tu Kenya ya kifugua luggages za watu
2025-07-18 08:32:53
4
Rwanzala :
sasa hii umearibu utatupa wapi niendee 😂😂
2025-07-29 08:51:26
1
user2792085815081 :
umeitupa wapi hizo nikujie😅😂
2025-07-29 16:05:31
0
Child of the Most High God :
I love TC products
2025-07-29 11:23:54
1
@westongichamu :
hiyo 3500 ni large ama
2025-07-27 20:04:07
0
ken Atoyo :
mtu asiharibu bag yake hivo halafu tukose Kunua...I will buy it when I get money
2025-07-18 06:25:14
15
just.call.me.evel :
maliza kuharubu unipee location...
2025-07-24 23:44:38
0
@rolax shoesmpire :
nakujia hizo mbili zenye zimeharibika na dhao😂
2025-07-18 12:17:48
8
Dinah Mukhangali :
usiharibu ingine tunakuja kununua😩❤️
2025-07-29 15:23:13
0
Marcellas Dan💯 :
wee mnapeleka advertisement mbali😂
sasa imagine Company creating hizo fiber waone hii video🥲😅
2025-07-29 17:40:30
1
Aggie :
Nime like mbio mbio nkidhani nnaeza pata nkiwa Saudi🙄😂😂
2025-07-27 23:29:04
0
9090 :
this kind of marketing ndio itafanya nibuy niende seattle
2025-07-18 09:08:41
168
To see more videos from user @tc_fashion_hub_ncc, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.