acha usiku wa manane 😂hii gulf kunakunga na kesho kweli😂juu nalala leo naamka leo na leo ndio morning na leo ndio leo😂
2025-07-30 15:55:27
1
marriyumkhamis254 :
na wenye mko training ya kukuja gulf msifundishwee kuosha watoto huku hawaogi🤣
2025-07-22 10:46:06
8
user4618429692558 :
huku watu wana.lala Leo wanaamka Leo sasa uo usiku WA manane unatoka wapi😅😅
2025-07-29 13:15:01
0
Naichammy❤️❤️ :
shule zifunguliwe tu jmn uwiii nshachoka kukesha kwny majumba ya watu mbk sa nane kasoro usiku yn mtu anakaa kw watu mbk sa nane kasoro hakumbuki hata kwake 😩😩😩 hlf asubh natakiw kuamka wakwnz kuwapikia hao nlokesha naooo🥹🥹🥹😭😭😭
2025-07-18 15:52:33
11
fau 😘🥰😍 :
hakuna Wala hamna kesho ni Leo tu🤣🤣🤣🤣
2025-07-18 09:08:59
27
Lucy chebet❤️❤️ :
na stima inapoteanga kweli
2025-07-18 16:45:44
2
❤️❤️❤️ :
☹️☹️mi mpaka nachanganyikiwa kulala saa7 kuamka saa1
2025-07-22 10:54:07
2
mama loise na ryan :
itoke wapi na hawa watu wanatembea kuliko ibilisi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-18 14:12:40
16
halimaaa :
labda mchana wa manane
2025-07-28 10:11:27
0
Hadija Kimolo💖💖 :
Labda mchana wamanane ucku kwao mchana ndy maan wanamatumbo mk mifuko ya zubala
2025-07-18 10:08:34
2
Elizabeth Sauti :
hawa watu wakipisha na paka akihamisha watoto siyo kwa kuzurula huk🤣🤣🤣
2025-07-18 18:46:27
0
mwanjey :
labda mchana wa manane.
2025-07-18 05:23:26
18
Khadijah Omary :
usiku wa manani watu ndo wanijandaa kwenda harusini🤣🤣🤣🤣
2025-07-18 09:18:35
1
Naah Mzuwanda Love :
cjawahi ona kwakweli maana saa 6 usiku unaambia muangalie hamoud anataka kuswim😂😂😂😂
2025-07-17 14:15:20
1
Zuwena :
Hapana kuna usiku wa masaba tu
2025-07-22 16:48:10
0
Nyar gi Dave :
Hii wahenga hawakunena..so it's like haiko🤔🤔...juu Gaidi na malazi ni kama,maji na mafuta but TikTok ni kama maji na maziwa..😅😅😅
2025-07-21 18:50:15
2
Santa Kaingu :
Uku n leo Akuna kesho 😂😂😂😂
2025-07-18 09:37:54
3
Halimaty juma :
huku hamn jaman maan mda wote milango inalalmika😂😂😂
2025-07-18 17:02:42
7
Mom Tanisha :
😂😂😂😂Wewe akili ndio ziko Kenya walai even me I was thinking about your question 🤔but weeee bora date ya Mashaharaa ndio najua na isipite
2025-07-18 21:09:12
0
Doris mnywiga :
utoke wapi huo usiku wa manane, wakati wenyewe saa sita usiku ndio asubuhi, Yao minachoka😂😂😂😂😂
2025-07-18 04:50:30
3
Halima.waziri1 :
hakuna usiku huku wao usiku ndio mchana wanazulula kama kuku anaetaka kuataga😂😂😂
2025-07-18 16:08:12
13
Sherry Boos :
amna mchana kwao usiku usiku kwao mchana
2025-07-17 17:26:01
1
asmaamakia6 :
Aisee kusema ukweli mi kwangu upo sema huwa nautumia vibaya🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-18 13:58:35
0
HASNAH FARHAN :
huku hakuna sasa km saa tisa ndio watarajia giza litande na saa kumi kumi na moja kamwe ndio saa tisa ishara ya jua waona saa kumi jua lachomoza saa kumi na moja jua lachoma km saa sita😅😅😅😅😂😂😂
2025-07-19 01:08:56
4
Aidah :
sijawai kuona usiku uku🤔
2025-07-18 19:00:45
1
To see more videos from user @bdall51abdall51, please go to the Tikwm
homepage.