@paigeivy0: Kwa hii masaa kenya huan yangu ndio hii. #Pride of embakasi #matatu culture

paige 🖤🦋
paige 🖤🦋
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 17 July 2025 13:08:35 GMT
24209
2572
249
33

Music

Download

Comments

rapturexxx9
L.A.M.I.N.E✨ :
hii ndio itatusaidia kumsafirisha adi sugoi😂💯
2025-07-18 02:18:06
94
amosfreedom
Amos Freedom5 :
MOOD read backwards is DOOM! Amkeni bana!
2025-07-18 17:59:52
14
christineafandi65
Master senke! :
thank you wamerudushia boys job ya kupaint magari
2025-07-20 17:20:31
0
mistar_cog
mistar_cog :
traffic iko tao ni noma itabidii niitishe chopa twende tu lounge 😂😂🤝
2025-07-18 11:54:48
3
robbisdaughter
muthoni njenga :
thika road tupewe moja hakuna venye zote zitakua za rongai na ngong na mwiki
2025-07-18 15:48:07
7
zuhrahadasa2
💥Esther 💞💞🇰🇪🇸🇦 :
😂😂😂😂hii ni ile ya mtoi wa ruto ama
2025-07-18 10:55:36
1
sweetphycho004
Ẽļǐǔď😜😜 :
: : Nani anataka tulikiane video😂😩🥰 reply
2025-07-18 20:08:33
1
pope_leo.xvi
Pope_leo[xvi] :
GARI NOMA LAKINI CREW+DERE WANYONGE😂😂WAKIKAAA MBAYA WATANYONYESHWA HATA NA GATERU😂😂😂😂😂
2025-07-17 20:42:54
8
user5056881572772
madonna :
nxt maandamano hii ndio tunawasha
2025-07-19 18:55:36
1
amohs6
Amoh jnr :
kesho mapema kicc
2025-07-17 19:53:59
13
lixil314
lixil :
patia wajinga wa jensis wakuletee pesa,,,,utashangaa
2025-07-18 15:22:39
1
dianahshihundu
🌸Dianah Shihundu🌸 :
ni ya root gani
2025-07-18 17:24:40
1
wamanyeje01
wamanyeje :
capitation ya shule na pesa ya helb
2025-07-18 09:19:56
1
gracaneema2000
gracious2000 :
i think am only one who hate this buses maybe am old but that noise its a no for me na vile huendeshwa kbs n city shuttle does it for me
2025-07-19 23:49:24
1
user8276163793857
user8276163793857 :
lazima inyambishwe na PoPe EVANSO Akiwasili
2025-07-18 11:49:03
1
gabriel_111_scotttyler3
Thee Don Mixologist 🍾👑 :
niko KICC kwani hamfikii
2025-07-18 12:34:26
3
bazengdaddy
dadd bazeng :
sura mbaya kama economy ya kasongo 😆
2025-07-20 19:14:52
1
chalo4444
Charles :
alafu upee mtu amrsoma na bursary arndeshe na alokote pesa,,,,bure kabisa
2025-07-18 14:48:28
1
jackie_the_foodie
sasha :
ikuje ngong rd mara hiyo..hata kama ni ya wale wa 2tam bado nitapanda nikikutana nayo
2025-07-18 17:56:27
1
onekeshy
kesher :
i thought mmesema ni ya utawala
2025-07-18 03:27:44
1
jemaal.ciru
SheeroKK :
It's good to be young coz this is too much for me. You couldn't pay me to get inside. 😂😂 But we had our fun before Michuki too. Let the young get theirs now. 💯
2025-07-19 05:09:56
1
romneymarshall3
smarsh ke :
hii sasa ndio babayao,hii kuwagongea ni constant
2025-07-18 07:24:54
2
willis2mn
willis :
wantam
2025-07-18 05:38:15
5
robbisdaughter
muthoni njenga :
thika road tupewe nganya moja 😫
2025-07-18 15:47:16
3
nan_cie_254
Nancy _digital jobs :
Mbona inanikalia scary ama nko jaba😂
2025-07-18 11:13:31
2
To see more videos from user @paigeivy0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About