@official_old2: Daaa, 😂😂😂😂😅🤣#fyppppp #dogopateni #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #mwafa

listen 🎧
listen 🎧
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 July 2025 21:56:22 GMT
81829
4256
154
72

Music

Download

Comments

mkaraboka
Seleman Mkaraboka-MCMXCVII :
welcome morogoro
2025-07-18 19:43:19
1
saghulekibuga
kong'olo@ :
gifted man, Jah bless you
2025-07-18 14:03:40
0
sophiamohamed359
Sophiescent :
Keisha yuleee☺️
2025-07-18 14:02:14
0
kansapa0
Kansapa :
smart upstairs
2025-07-18 14:26:35
0
osamabeinshabanim
Osama BeinShabani Mohamerd Myong :
visit
2025-07-18 08:22:03
0
mc_papilito
𝐏𝐚𝐩𝐢𝐥𝐢𝐭𝐨💎 :
Baba yangu Christmas alinunua utumbo kilo 15 tulikula Hadi mwingine tukavaa vidoleni kama pete
2025-07-18 10:44:49
57
user5078194914179
Genius Shanda :
Kesho ni fumbo. Eti Leo ni waziri
2025-07-18 16:49:58
11
davic.pichent
Davic Pichent :
Nyota njema uone Kama asubuhi
2025-07-18 00:03:07
39
mandella05
hanifah@ :
hlf wanasema patten mjeuri....😥😥😥zuchu kampa umaarufu hmn kingine
2025-07-18 04:05:55
23
user8984849287216
zahra jooh :
ila huyu kumbe alishakuwa kiongozi bado kuapishwa tu🥰
2025-07-18 03:19:50
18
firstboe_drill
First boe_Drill :
Hamsi mwinyijuma na Mwananyamala mwinyijuma Kuna uhusiano gani 😂
2025-07-18 08:38:11
6
user8608660380766
user8608660380766 :
Eti nae leo na muheshimiwa
2025-07-18 09:37:30
5
user69322484767964
SWAUM RAMADHAN MWANAMKE KUJIAm :
watuy tunatoka mbali huyu hap kamaliza ugomvi wa paten na hao wajinga walikuw wanamlazimisha aonge mambo ya shule hiv
2025-07-18 06:05:38
6
officialcotaman
RSB :
Ila alivyosema dogo patern kapewa umaarufu watu wanamaka,haya mkongwe huyo
2025-07-18 05:18:55
6
gachdsumaili23
GACH-D SUMAILI120 :
nawaombea mpone haraka Wanawake wote ambao mpo period nimeanza kuwa miss 🥰🥰
2025-07-18 19:02:39
4
headcurent1
head current :
wakikuuliza unaendeleaje wajibu vizuri zaidi jana 💪
2025-07-18 18:00:12
4
ngametwa
ngametwa :
umeshakuwa Sasa kwenye sehemu ya maamuzi yafanye hayooo
2025-07-18 18:46:39
4
simbaz_star
mtu_star :
Amefariki lini????
2025-07-18 12:04:01
2
bravo_one8
Bravo_One :
Huyu jamaa ni Msomi 👌🏿🤌🏿👏🏿👏🏿👏🏿
2025-07-18 12:18:17
3
emmajamesemma
Emmajames :
Mimi ni single father, Baby mama ameacha kututumia pesa 😭
2025-07-18 17:55:36
0
mkali1220
userMkali More :
aaah.. ok, kipindi hiko ye ndo alikuwa anaeleza matatizo kwa Mheshimiwa☺️☺️☺️
2025-07-18 05:10:26
3
real_fado
Emmanuel woisso 🦍 :
Patten alihojiwa na wale viumbe wa mjini fm kua ni kitu gan kimebadilika kwenye maisha yako akasema kua ni umaarufu tuu🙂 wale viumbe wakawa kama watoto wa darasa la pili😎
2025-07-18 21:15:53
1
itc23chillah
Am_Chillah☝🏾 :
Akili kubwa
2025-07-18 17:07:47
3
plug_wa_motii
plug_wa_motii :
Mbuyu ulianza kama mchicha. Lakini mchicha hauwezi kuwa mbuyu.
2025-07-18 18:13:29
2
whyescopaul
[email protected] :
huyu nimetafta nae chapaaa Mguu me mguu
2025-07-18 18:10:07
1
To see more videos from user @official_old2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About