@motivational_speaker_og: Kuna vitu vikivunjika havirekebishwi… Uaminifu ni miongoni mwao. Jifunze kuulinda kabla haujautafuta kwa majuto. #Uaminifu #ManenoYaBusara #HekimaZaWazee #VideoZaKibongo #SwahiliWisdom #NasahaZaMaisha #AmaniYaNdani #MaishaYaKijiji #TikTokSwahili #BusaraZaMzee#tiktok
MOTIVATIONAL SPEAKER_ORG☑️
Region: TZ
Friday 18 July 2025 04:55:46 GMT
Music
Download
Comments
Lozzy official 💞 :
kwani babu upo mkowa gn nikuletee zawad🥹🥹huwaga unasema kweli kabisa
2025-07-21 10:00:05
5
kom9723 :
kishwahili lugha yangu
2025-07-25 07:34:56
3
Nora Rams :
Ukweli mtupu
2025-07-29 16:09:31
0
@mama watoto.com :
kurekebisha moyo ulivunjika ningumu💔💔
2025-07-20 05:44:52
11
WINI DRESSING HAIR :
kwili kabis
2025-07-20 18:29:11
2
Ally :
hii siri wengi uipoteza kwa njaa au tamaa 😂😂😂 kosa moja goli
2025-07-18 11:50:34
5
Julius Justine :
kabisa
2025-07-19 19:52:31
4
Collins :
Nikweli kabisa🙏
2025-07-21 17:08:53
2
Ridhwan kidoz :
Babuuu maneno yako mmazima sana Mungu amueke miaka 800 Amin
2025-07-22 15:40:17
0
user7606585498182 :
kweli kabisa mimi nakuita baba wa husia
2025-07-20 19:36:32
2
Sheyzy ♥️💕🌹💓🙏 :
na feel kutag mtu
2025-07-21 08:08:43
4
Jk :
very true
2025-07-18 15:07:16
5
Paul :
ukweli kabisa
2025-07-20 13:29:23
2
Chalya :
Ahsante Babu 🥰
2025-07-20 16:05:33
2
Ummu Khadijah :
kweli kabisa
2025-07-18 21:22:59
6
Gordon okoth :
true
2025-07-20 10:11:55
3
user83791471441102 :
hakika kabisa babu
2025-07-21 17:10:53
1
Mrisho Simba Simba :
follow me
2025-07-19 17:48:16
3
zaizuber8 :
haswa
2025-07-22 10:43:38
1
Said Seleman :
baba hiyo nikweri kabisa
2025-07-21 04:46:12
1
baby girl :
kabisa
2025-07-19 09:47:29
2
unkown person :
fact sana babu
2025-07-18 07:55:59
2
Robert Zawadi Kaaya :
hakika
2025-07-18 08:05:37
1
Agree with God ♥️♥️ :
Nkweli babu
2025-07-18 19:07:51
1
ellajohn :
kweli kabisa
2025-07-20 14:43:16
2
To see more videos from user @motivational_speaker_og, please go to the Tikwm
homepage.