@deniskydemiles: Inside Mood George Ruto is set to launch his Nganya named 'Mood' today at the KICC grounds. It's comes with a full DJ deck station installed, one of a kind in Kenya.
hii mkiangalia na spiritual eyes,c gari ya kawaida
2025-07-19 06:53:32
392
Official Dee (backup) :
Guys be careful, especially our young Gen z..life is spiritual 😭😭😭
2025-07-23 00:13:29
1
Dr.Milly :
hii inakaa kukupeleka Kwa Lucifer
2025-07-20 18:45:00
35
albert56210 :
Ebu turn simu yako upside down alfu utuambie umeona nini🥲
2025-07-21 08:02:18
9
Glado Glad :
mbona inakaa already imejaa ukiangalia in spiritual eye
2025-07-19 10:51:31
99
peshypaul :
me naona skeletons 😳ama naona vitu zangu
2025-07-22 07:59:33
5
empress :
mbona inakaa maghost 😭😭au Niko mavitu
2025-07-19 09:27:15
147
Lamo :
This has 100% spiritual emoji, the mood control at work...mtaisha na udwanzi wenu.
2025-07-23 00:48:07
0
@damajoan :
hii itaenda routes gani nihamie uko🤣🤣🤣🤣
2025-07-19 10:51:46
14
young kevo :
squint your eyes tell me what you see😳😳
2025-07-19 23:24:45
9
Bobo254 :
Ata zikiisha zote tao ikuwe ni hii tu imembaki itabidi nilale lodging... tondu wee, ino ihana kunywa mundu thakame.
2025-07-19 21:49:18
9
cesh :
Just wondering what inspired him to choose those kind of seats.
Damu ya maandamano haijatosha Sasa ni kunyongewa kwa gari na hakuna mtu ataskia na iyo loud music.
Sina ubaya but be very careful guys msiseme sikuwaambia.
2025-07-19 19:21:54
19
Jacque' Waffs Ladybird :
Those seats looks watu wako ndani tayari..scary
2025-07-21 19:55:45
28
cierajulvee@naibz :
hii gari ukiangalia na Wivu utasema ni ya chama Ile ingine😅😅😅😅
2025-07-19 09:04:47
27
janice :
Hii ukiingia si unaingia kwa shetani directly 😟☹️😢😫
2025-07-21 12:44:20
13
Dantez_fx🇰🇪 :
napenda nganya walai bt hii inakaa demonic siezi panda🥺
2025-07-22 20:01:41
2
bloomyyyy :
Watu wa spiritual mta tumaliza na ma spiritual zenyu😂
2025-07-19 11:53:43
8
jacky nyamai :
hii ukipanda unaambia dere the place unaenda aujui ndio wakifika uko juu uoni wakushukishe🤣🤣🤣hapa nikutumia akili😁😁
2025-07-21 15:33:39
0
Gang💥💫💦 :
mm naona waislamu wamejaa hapa ndani au nko mavituu!!🤣🤣🤣
2025-07-19 15:19:32
2
Therapist~Wambõ🌸💐 :
Hii utajua aje ukifika stage unafaa kushukia guys?😂😭💀
2025-07-21 09:47:58
4
BROTHER :
viti zinakaa kama kuna meeting ya freemason 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-22 09:39:33
6
karaguzz_dota :
ukiangalia mbio inakaa hawa wanawake wasomali wamekaa
2025-07-19 18:00:38
5
🤕 Queeny❤️🩹🥹 :
weeh😂 jaribu kufunga macho kidogo Tu,unaona watu wamevaa mask...😂😂😂
2025-07-19 15:47:05
7
olivemarto :
bona nkama imejaa watu already
2025-07-19 08:49:33
13
To see more videos from user @deniskydemiles, please go to the Tikwm
homepage.