@timothyerasto: Hata Ndimi Elfu Lyrics Hata ndimi elfu, hazitoshi kweli Bwana Yesu kumsifu kwa zake fadhili Yesu jina kubwa liwezalo kufukuza hofu, linafurahisha hili lanipa wokovu Jina hili ni uzima, ni afya amani , Laleta habari njema, twalipiwa deni. Yesu huvunja mikufu ya dhambi moyoni, Msamaha ,tena nguvu twapata rohoni Kwa sauti yake vile, watu hufufuka, Wakafurahi milele pasipo mashaka
mwl erasto timothy
Region: TZ
Friday 18 July 2025 09:18:11 GMT
Music
Download
Comments
ginakimvuma :
Jamani nimetamani kuwepo hapo
2025-07-21 09:39:24
5
Regina lukaka :
muda mwingine natamani tukae sehemu moja tu kumwabudu Mungu wetu bila mahaangaiko ya dunia
2025-07-18 18:35:24
93
@Sophia Jeptui :
Mungu awakumbuke akirudi kuchukua kanisa lake..
2025-07-22 18:17:27
0
Kafwemba Jr. :
Siku hizi tuna waimbaji wa hovyo sana wa Injili wamejitungia Injili zao wenyewe ...#Ila tunaye Ambwene # Keep serving the most high GOD Tunabarukiwa.
2025-07-20 15:26:17
3
Hero Man. :
Wow ni wap.?
2025-07-22 07:26:53
0
Essie :
ni wapi hapa jamn tuwetunakuja kumuomba MUNGU
2025-07-18 14:56:39
17
Cyte Nimz Maina 🇰🇪 :
🥰🥰Can I join you guys 🙏🙏 I love this
2025-07-19 04:51:46
5
mensiana JoJo :
alafu kuna sisi hatushikagi tenzi yaan iko kichwan kama ilivyo najivunia wewe yesu
2025-07-18 18:53:14
17
Glory to GOD :
aminaaaaa nabarikiwa na huduma yako kaka. utukufu kwa Mungu
2025-07-20 19:32:57
1
poulie priss :
nimemuona mtu kama Abel Gustave jaman au nimemfananisha
2025-07-19 15:35:45
1
tausi out ugustino :
na ambwene nae anadhambi??
2025-07-20 19:36:41
0
Phares Philip :
Did you upload the recording YouTube?
Can't really get enough of it❤
2025-07-21 14:50:37
1
danielchibo1 :
Huyu mwingine kama ambwene
2025-07-20 19:52:47
1
Cute Sarah :
Nimeskia raha sana moyoni🔥🔥🔥, mbarikiwe
2025-07-19 07:16:43
5
Hellen mmary :
nawaonea wivu walai
2025-07-19 16:44:04
6
zephania :
Bora mbogamboga kwenye Aman
2025-07-19 14:28:21
5
julius show :
hakika BWANA uwajua walio wake
2025-07-20 02:26:23
3
Robert Athuman :
hawa watu wanasifu toka ndan y vilindi vya mioyo yao nimewapenda sanaa hasa alie vaa t-shirt nyeupe naingalia mara mbili mbili ii nyimboo
2025-07-20 14:20:29
1
Agness mpoki :
kwa YESU raha jaman🥰
2025-07-19 21:08:08
2
kikotih :
naipenda sana hii nyimbo🥰🥰
2025-07-18 18:07:35
6
Magreth Kateti :
❤️❤️❤️If i had ten thousand tongues still won’t be enough
2025-07-18 10:40:28
5
Fanatic gel.A2g :
God bles u my family ❤️
2025-07-19 11:40:12
3
Makiwa M Suleyman :
hii ipo real sana, Haina makando kando
2025-07-20 21:13:36
1
yohana mahenge :
regendary ambwene akiwa kwenye ubora wa kumsifu regendary mkuu Yesu!!!!
2025-07-19 16:39:46
1
leah_satellitecollection :
🙌🏾raha naona mimi
2025-07-19 10:16:10
2
To see more videos from user @timothyerasto, please go to the Tikwm
homepage.