Mtu baki anashukuru hata ukimpa kidogo.
wakati ndugu lawama!!!
2025-07-19 12:17:08
28
Mbegu official :
mzeeee ndugu wa Sasa wanazingua sana
2025-07-21 12:48:54
2
mnyiramba boy :
Hakika mungu akuongoze mzee wangu🥰🥰🥰
2025-07-29 22:33:14
0
Amourguga1 :
Fact na ndio maana leo ukipata shida kubwa chakwanza wanauliza ndugu yake mnamjua sio rafiki so ndugu kwanza 💪💪💪
2025-07-19 13:25:26
16
yahyabrazil5🇰🇪🇨🇦 :
Kwa dunia ya sasa ivi madungu tunachukiana 🤝
2025-07-19 18:10:25
4
Nicolaus Kinyaki :
Kwang mm hapana watu baki wanamaana sana kwangu kuliko ndugu
2025-07-21 16:33:26
3
PELEKA FAMILY 🐐 🇰🇪 :
Sasa saawa lakini ukija ukaferi Wana matusi na uliwasaidia
2025-07-20 08:21:46
10
MISS ZANZIBAR 🌺🌹 :
SADAKA HUANZIA NYUMBANI
2025-07-20 00:56:55
8
Rama Njimbi :
ndugu wa saivi ni lawama sana😭
2025-07-29 17:53:14
0
Pendo laizer :
asilimia kubwa watu wanajengwa na family zao sio watu baki chimbuko la watu wengi wametoka kwenye family zao fact☺️☺️
2025-07-29 08:09:48
1
. :
kweli kabisa..hata kama ni wabaya unapaswa kuwasaidia tu..huoni mtihani wa mungu
2025-07-21 15:10:24
3
Goal Machine :
ndugu awasaidiagi ndugu zao shehe kwa Mila za kiafrica ndivyo zilivyo kwa ninavyojua Mimi mfano kwenye maswala ya kazi ndugu Huwa ni mala chache sana kukusaidia kupata kazi Cha kushangaza unakutana na mtu Baki ndo anakupatia kazi kwaio msaada wa ndugu kwakwel kipengele👈
2025-07-20 19:33:56
1
aziza sharpooh :
mpaka nimejisikia kulia wallah 😭😭kwa hy maneno yako sheikh mungu azidi kukuweka
2025-07-19 14:01:03
16
sleifik hajjir :
Wewe saidia tu usiwaze kufeli maana kufeli na kufanikiwa ni mipango ya mungu iyo
2025-07-23 05:17:03
1
Da Genius :
Utajihisi vp Kupata msaada kutoka kwa ndugu zako? Kikweli utafurahia basi na ww ukiwa nacho wape na wao pia watafurahi🙏
2025-07-21 05:11:37
1
Spicy girl :
Ya Allah tupe nyoyo za imani
2025-07-19 19:10:48
2
mkwizu tz :
sada ina anzia kwenu Asante mzee wetu
2025-07-21 18:41:02
1
$%%&&^%$# :
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH
2025-07-19 19:30:50
1
kingpin :
m nlishawai saidia sai naambiwa ulinisaidia na nn
2025-07-21 17:27:17
1
rajab assaedy :
shekhe nakupenda sana kwaajili ya Allah una elim kubwa sana Allaah akuzidishie sana
2025-07-20 16:55:40
1
Niyonyishu96 :
mimi naweza kusaidia mtu baki kuliko ndugu zangu wa ndugu ni watu wabaya
2025-07-24 05:37:03
0
Shamsa Yusuf :
yarwabii tupe pesa tusaidie watu wetu
2025-07-19 12:38:48
9
Setembo the boy :
yani ukiacha ndugu watoto wa shangaz mtoto wamjomba yani wazazi wetu wenyew maisha yao innalilah wainnaillaihin rajiun ila tumewasahau san🤲🤲 yarrabi tufanye tuwe wenye kuwakumbuka wazazi wetu amin
2025-07-26 14:27:17
0
@king shazor :
Allah atujaalie subra na familia zetu
2025-07-20 03:57:15
2
kom9723 :
kishwahili lugha yangu
2025-07-21 07:27:16
2
To see more videos from user @nurunaimani, please go to the Tikwm
homepage.