@madam_leila: Kimya ni jibu bora zaidi linapokosekana jibu. . . . . #wengihawajui #wengihawafahamu #kayawellnesscompany

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 July 2025 14:10:55 GMT
265640
20114
645
1528

Music

Download

Comments

ummulayth
sumeiya adam🦋 :
Allah amekupa kipaji cha kuongea madam leila🙌🏼🥹Allah akuhifadhii
2025-07-19 15:04:40
140
glorious_gsm
glorious_gsm :
tangu nimeanza kukufuatilia nimepona haswaa nafurahia maisha napata raha najishangaa nilivyokua nalia yaan mimi saivi nikilia labda nimefiwa
2025-07-24 08:20:05
0
fineraya16
🎀finegirl raya🎀 :
dada sijui nikwambie aje Ila namaumivu Mimi Sina ata wakumueleza Ila najikaza watu wasione vile nayopitia Ila nikiwa mwenyew nalia san mtu amekumizaa na hajali😭😭😭
2025-07-19 18:13:08
61
user9059273257009
mnyonge siluma :
wewe ni kichwa hasa nakukubali sana,una vitu ambavyo unavyovitoa ni vya msingi sana,big up
2025-07-21 06:37:37
2
veroooofh
veroooofh :
nikiona post zako napata faraja
2025-07-19 14:25:09
41
beib.wangu
beib wangu :
Me nataka aniachee lakini hataki nataka kuwa huru
2025-07-19 14:25:54
26
maggd65
k,b,d,💕m :
mim ni mke wa mtu na mwanamke alieko kwenye ndoa hatakiwi kujipost post sio vizur jamani mnaonekana kama maraya ila mi mwenzenu uwa naji post na nitaendelea kujipost mpanka umauti utakapo nikuta😂😂😂😂😂
2025-07-21 07:29:07
2
jack.kimwel
David :
Madam hivi mwanamke alieolewa ni sawa kujipost post kwenye mitandao
2025-07-19 15:22:11
4
awena.salum.salum
Awena Salum Salum :
Allah Akuzidishie Afya na Kheir zake Yarabi
2025-07-24 08:22:31
0
9khadija22
khadija :
mwenyez mung amenipa nguvu na moyo mgumu wa kumkalia kmy mpk sasa aminii km ni mm niliekuwa namlilia 😁
2025-07-22 14:36:26
3
ndetevero
Ndetevero :
Madam unanigusa kwenye kila kona Allah akujalie afya njema.
2025-07-24 19:17:12
0
wathabi3
user4546501159367 :
siamini kama nimepona majeraha yale dah!! asikwambie mtu maumivu ya mapenzi na njaa hukimbia
2025-07-19 21:08:13
17
jovitha.daniel2
Jovitha Daniel :
kweli dear asante sana
2025-07-25 07:46:22
1
hildalameck8
Official hilda :
natafuta rafiki tulikiane video 5🤗
2025-07-24 18:50:59
1
mireil79
mireil79 :
alah akupe nguvu
2025-07-25 05:26:07
0
mummy3517
Mummy :
assalam Alaikum madam Leila Nina dharura ya kuongea nawe sana nikupateje
2025-07-22 19:38:20
0
longidamollelgmail.com
longidamollelgmail.com :
Allah akujalie nakupenda bure
2025-07-24 21:24:37
0
user8771260661301
user8771260661301 :
unadeal aje na mwanaume mkiwa Kwa nyumba hakuongeleshi na akiwa na safari zake hakuambii anachukua tu bag na kuondoka
2025-07-20 08:52:52
2
asiawailfani
Asia Wa Ilfani :
dada niwe mtu mkwel niliongea had sasa nakonda ila umeshanipa somo hata sikia nimefunua tena mdomo wang
2025-07-19 20:55:47
3
user23411791587597
Ridhy Nizer 🌹 :
Wacha uongo kma ngwai ngwai Yan mbaya mbaya
2025-07-20 02:18:05
11
nailaomary
[email protected] :
jamani mimi nakupenda sana
2025-07-24 14:24:05
0
team.allah8
TEAM ALLAH 😘 :
shukran jazila
2025-07-24 22:10:59
0
chingatz32
chingatz :
ukweli nikwamba nimemuacha mkewangu aende anapo taka nimeshindwa kauli zake za kejel.kwasasa naisi aman ya moyo
2025-07-20 20:50:38
4
user3590258572256
@Haitham maa :
nifanye nini ili anipe talaka yangu ili niwe huru maana vituko vyote ninavyomfanyia hajali
2025-07-19 17:24:39
3
christiana.juma0
Christiana Juma :
Da Leila Nakupenda sana kwa jili ya Allah,ww ni mganga wangu mi tiba ya mafunzo kwako naipata, Alhamdulilallah 🙏🙏
2025-07-23 05:15:26
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About