@smile50ii: Hivi ni vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya asili: 1. Karanga (especially almonds & walnuts) Husaidia mtiririko mzuri wa damu na kuongeza testosterone. 2. Mayai Yana protini na vitamini B5/B6, husaidia stamina na homoni. 3. Spinachi & mboga za majani Zinasaidia kuongeza damu na oksijeni kuelekea kwenye viungo vya uzazi. 4. Samaki wa mafuta (kama salmon, sardi) Wana omega-3 ambayo huongeza msisimko na nguvu. 5. Ndizi Zina potassium na enzyme inayoitwa bromelain inayosaidia stamina. 6. Kitunguu saumu Husaidia mzunguko wa damu na kupunguza msongo. 7. Ufuta, mbegu za maboga (pumpkin seeds) Zina zinki (zinc) inayochochea uzalishaji wa homoni za kiume
Smile🪙50
Region: KE
Saturday 19 July 2025 16:45:25 GMT
Music
Download
Comments
Everlasting carols :
wapi likes za wanaume
2025-08-03 07:56:50
268
SIRKHAN SALIM :
kama unampenda mungu like hapa🤝
2025-08-08 11:44:07
113
Moses john :
mwanaume anawaza mapenz sana ila kimoja chali 🤣🤣🤣
2025-08-04 10:26:03
62
Jackson Ndayiragije :
ebu subiri Kwanza nimwite mke wangu Yuko bafuni aje asikilize
2025-08-04 06:01:02
57
Rurangwasunday :
Mbona mimi nawaza mapenzi mala 3 kwa siku tu we muongo
2025-08-07 09:42:04
21
jumelle mubarikiwa :
natafuta jogo wangu tangu juma jana, amehama kwa jirani kunako kuku wengi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-16 10:02:09
13
hamissaida :
vipi kuhusu mishangazi nayo huwaza mara mbili kwa wiki??
2025-08-26 05:30:03
3
anuaritesifakahyu :
nasisi wanawake tunaanzaka tafuta,yani nasisi tuwe napenda sana?
2025-08-05 04:47:40
15
vickramvicky :
wanaume wapewe sifa tafadhali
2025-08-23 15:37:39
10
Superstar sweetie :
true
2025-08-04 18:54:17
5
dalicamussajoaoca :
eti ni kweli sana
2025-08-04 06:50:00
12
ahmedalrasmail0 :
sio mwanaume tuu kiumbe chochote chenye jinsia ya kiume hata jogoo pia hufukuza koo mara 40 kwa siku
2025-08-06 03:47:07
12
Jepoi the boy :
😂😂 ashante shana
2025-08-06 08:22:55
6
Brown Cloud :
hujakosea mama mana huwa nai chapa usikukucha
2025-08-04 21:21:49
10
Yully Banza Abdoul Aziz :
asante sana
2025-08-29 07:22:03
3
meridian mshipa :
maaaaanyuzi sio kwa hawa vitoto vya 2000 umtu kila mda anawaza ku liwa tu hata ukiwa na shida ukimwita umuulize anajua tu huyu anataka futa langu
2025-08-29 07:00:21
3
gervas899 :
kwahiyo hao wanawake wanaojiuza, wao wana homoni za kiume? maana hoja yako haifanani na uhalisia
2025-08-29 07:21:56
3
Kitengo :
Basi litakua limeniroga mbona kwake sibanduki 😭😭
2025-08-05 04:26:53
15
Ricado Raphael :
ukweli
2025-08-04 11:02:37
4
~~ :
sisi hatupendi tuna taman
2025-08-04 10:55:02
4
bahati mwenda :
unasema kweli kweli kweli mtupu.
2025-08-06 10:16:17
10
biblosamani :
Nikweli Mungu akubariki
2025-08-05 20:49:05
7
Bazu vann1 :
wapi like za wanaume ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2025-08-11 13:06:35
17
paulshiveka1 :
omena Ina utofauti gani na samaki
2025-08-06 08:37:12
14
To see more videos from user @smile50ii, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.