@mastory_bongo: #tiktoksearchingsight #creatorsearchinsight #nchiyangutanzania #mastorybongo #creatorsearchinsight

MASTORY YA BONGO🇹🇿
MASTORY YA BONGO🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 July 2025 19:07:28 GMT
189885
11707
201
1918

Music

Download

Comments

harounbushnelly
Haroun Bushnelly :
Ni kwel but sio wote tupo ivyo Me Nilishawai Kusumbuliwa san na Mke wa Rafiki angu, Nikaacha kwenda kwa Rafiki angu na sikuwai mwamby Mshikaji angu lakin nilkua natunza Sms zote za mkewe adi siku alipomfumania kweny Cm kwa voic note alizonipgy maan Cm ake ilkua ina record bila mwenye kujua, Apo ndipo Nami Nikamuonyeshe sms zote za mkewe na nikamwamby ndomaan Niliacha kuja kwako.
2025-07-23 10:14:54
10
joseph.paul312
Joseph paul :
ubinadam nikaz sana !kama hayajakukuta huez muelewa anaongeann!.
2025-07-20 16:02:51
86
nomokid
nomokid :
deal likija wanapindisha sela,,inawaumiza navyo piga hela..best friend 😂🙌
2025-07-25 11:01:28
0
babahafsaa91
Baba Hafsa :
MBONA KILA SIKU NAWAAMBIA USIWA KUTANISHE WATU WAKO WA KARIBU NA WATU WAKO MUHIMU
2025-07-22 13:52:32
10
user5088053085496ka
Cobra cobra :
umetisha voice please
2025-07-24 06:18:22
1
agnestz7
agnes :
hata ukiwa na rafiki ukimtambulisha kwa boy wako ..aaah kesho tutaongea mengine 🤣🤣itakuwa to ..mapenz kilio😭
2025-07-20 04:54:21
10
neema.nicholaus3
Neema Nicholaus :
ukweli mtupu
2025-07-21 09:27:01
6
stanleymakunzo
Stanley Makunzo :
huyu jamaa anauelewa wa hali ya juu sana
2025-07-22 09:48:02
5
isdorymaluli
isdorymaluli :
sitakuja mpeleka mshikaji wangu ma home ni wapuuzi sana
2025-07-25 09:00:57
0
chawala.godfrey
Chawala Godfrey :
Una Akili kubwa sana mwamba,huo ndio ukweli kamili
2025-07-21 12:48:14
9
msuma470
msuma47 :
Jamaa hapakaongea
2025-07-21 09:04:53
7
user7347788202658
Amina@2013 :
saf binafs nimekuelewa
2025-07-21 06:09:36
8
user9188709252273
user9188709252273 :
mtu mwenye akili hupimwa kw jinsi ya utendaji kazi yake na uwezo wake wa kufafanua mambo na jinsi ya kujielezea uyu jamaa tumheshim anaakili sana
2025-07-21 16:16:02
4
willymungure007
Willy007 :
IPO wazi
2025-07-21 14:04:55
4
bestkatunzi
SIKU ZA MWISHO :
YESU ANARUDI WAPENDWA, TUKAE TAYARI 🙌🏽
2025-07-21 16:55:11
2
mrluoga26
❤️Pang’ang’a🫂🤪💍❤️ :
Umeongea big point il umenkatish broo😔
2025-07-21 05:05:48
4
njiro.jr
njiro jr :
Fact
2025-07-21 07:15:27
4
yuukali1
[email protected] :
Hapa kichwa kilitulia jamaa tunawaitia kazi halafu wanakuja kuwa wazinguaji
2025-07-21 08:24:19
4
therepublicofsomalia
peace and love :
kidogo initokea kazini ila nilifanya juu chini aondoke kabisa sio wema mm unihalibie,mpaka saivi sina mazoea na kiumbe chochote kwenye utafutaji
2025-07-21 15:31:33
2
amrabat907
amrabat907 :
yes fact
2025-07-21 11:18:27
3
benizanzibar
beni zanzibar :
uwakika mze wangu nakubali sana
2025-07-21 06:55:16
5
araffa92
Bby’cathleen🌹 :
Nature ya watu kupata maisha makubwa kuliko jitihada zake 🤝🤝
2025-07-21 12:20:11
2
.rajabu
@RAJAB :
niliwah kuwa na mshkaji wa hivyo ukiwa na girlfriend ata taka ajionyeshe nae angeweza kuwa nae mkipishana kaul kwake n fursa ya kumwona yeye n chaguo sahih! kama hayajakukuta uwez elewa😁😁😁
2025-07-21 18:36:54
1
mosesfrancispaul
MoSeS_🇹🇿 :
MWANAMKE akikwambia "RAFIKI YAKO ANA NITONGOZA" ujue huyo hampendi au hamtaki. Anaye mtaka au kumpenda HAWEZI kukwambia habadani.
2025-07-21 16:56:27
1
_.dr.ramsey._
Dr.ramsey :
sahih 😞
2025-07-21 07:00:38
3
To see more videos from user @mastory_bongo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About