najua wana assume comments lakini tutahama ena coach hii place inaudhii chakula ni mbaya na ni expensive heri nipande guardian mkiendelea ivi😏😏
2025-07-21 15:23:08
35
ACHIENG AONGO🇰🇪♥️🇰🇪 :
Chipo za hii place 😭😭😭
Kebabs ni unga tupu😭😭
2025-07-20 20:59:28
54
@stefanie_ :
narok am coming for Christmas on 23 but kitu nitanunua ni mahindi tu
2025-11-26 10:20:24
0
AWUOR❤CHOGO :
Narok,, ety lazima ukuwe na rishiti ndo ukulele chipo
2025-10-15 21:10:17
0
🕸️Folan🎚️ :
Matako Hao watu wa hapo tangu lini smokie ikakua 80🥀🥀
2025-07-20 19:42:34
18
narcis :
huku yoghurt ndogo ni 250. lollipop ni 50. maumbwa
2025-10-11 04:54:57
5
@Ohanga " $antos :
huko aty smokie moja ni 80😭
2025-07-20 17:41:25
16
Princess001👸❤️💞💞🥰 :
I remember I bought gracie yogurt for pne fiftee🤣 bei ya Delamere
2025-09-02 09:22:23
1
Rossy🦋🌸🎀🇰🇪 :
nilinunua yoghurt ya 99@ 250😭😭
2025-07-23 10:10:36
2
@Nurse linet odero🥰🥰🥳 :
mchange base ya chakula ama tuhame
2025-07-20 16:33:43
29
mercyline :
Na muwache kunitamanisha kufika home na siku ya kuenda bado😅😅😅
2025-10-14 08:38:23
0
kidero :
hio base ya kubuy chakula ni expensive bana,,,ambieni hao watu wapunguze bei ya chakula bana
2025-07-20 13:27:45
67
zuyder_cursy :
huku kitu tu poa ni choo pekeake😂
2025-07-22 17:24:14
13
Abudo O Abudo :
Kusema tu ukweli hapa chakula ni mbaya na ni ghali cha kunishangaza wako na till na hawakubali lipa na Mpesa heri withdraw
2025-07-30 17:43:30
3
P_@0J :
Na mjue food poison is real.
2025-08-15 18:24:00
1
@yohanesonura :
Kindly we are not asking you to control the price of food you can either influence or change the stop over that is all we are asking
2025-07-24 16:38:20
2
Lavender Onari :
yoghurt ndogo ni 80 expensive
2025-08-13 20:15:31
1
hellen mose :
mpaka nimetamani kwetu😭😭😭😭
2025-08-20 09:47:05
2
dotty :
the only thing I eat here is mahindi Choma or boiro...taaaamu
2025-08-17 13:11:04
3
King JB :
Mtito😂😂
2025-09-11 17:42:31
1
Mongre :
carry your snacks when traveling
2025-08-26 16:04:01
3
omwandho :
wenye wanuza hii area ni wezi wote
2025-08-15 18:46:25
9
Lydia :
Baze ya brokers ya chakula😂😂😂😂
2025-09-15 15:14:32
0
Rachel 💜💜💜🌹🍷 :
main office iko wapy
2025-07-23 09:45:01
0
joykiasa :
watu wanasema eti place ya kubuy food ni expensive kwani walihama pale penye silipii choo 🤣🤣 me chakula ntabeba zangu ndio nikifika hapo nisilipe choo 🤣🤣🤣
2025-08-18 15:21:16
2
To see more videos from user @chiefnera, please go to the Tikwm
homepage.