@jay_mjeshi: watafutaji @Big bro Tajiri 💵💵🪙🌏🌎🪐🌓 #tanzania #masikini_ana_kiapo #halizetu#maishayetu#jay#mjeshitz

jay mjeshi tz
jay mjeshi tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 July 2025 12:20:33 GMT
255648
7820
192
351

Music

Download

Comments

user2948406006169
KING MASTER 💫⭐ :
ngoja nimshike ninae mdai ntaenda mkumfanyia jalibio
2025-07-23 17:46:44
2
godiemsafi123
Godiemsafii123 :
huku America tuna ongoza kwa vita za kijeshi lakini hakuna mazoezi ya kijinga kama hizo zenu
2025-07-21 07:57:25
7
mrdrux15
DAUSON official :
ndo maisha yetu
2025-07-20 18:13:41
6
henrymwangi753
Olenduch :
unafanya mazoezi na bdo unalipwa pia mmi naeza jituma sna
2025-07-23 08:17:17
1
msumbufu56
Meru boy :
me natamani kujiunga jeshi jamn
2025-07-23 15:54:20
1
arshavin.joshua.k
Arshavin Joshua kubula :
respect mjeshi
2025-07-22 18:10:03
1
ralpha_01
Ralphwise :
mhhhhh 🙆🏾‍♂️huyu atakua kapewa adhabu kwa makosa makubwa sana . Sasa haya ni mazoezi au unyama?🙆🏾‍♂️
2025-07-21 14:54:29
5
novatus.jr
Novatus :
jeshi gani hilo au kambi hip
2025-07-20 18:27:41
5
nicepeter116
Pancho daddy :
Eeh tuambige ukweli wewe ni mwizi au ulikua jeshin I tuseje tu a kulaumu bule au tuka kupa sif kumbe hamna kit ndo majanga🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-23 22:45:54
0
sashasalum87
@Sashasalum02 :
😭😭Nita kua mpole kwanzia sasa kwamume wangu
2025-07-20 21:18:16
7
ronsterdoubleg77
Ronny Raster :
Alafu unapata kaz unakuja kulipwa laki tatu
2025-07-21 16:48:54
2
munawwar966
منورة :
majeshi yanayojielewa yanakazi ya kuzindua silaha kali za Kivita alaf kuna Mahesh ya Africa wao wanacheza kwenye tope tu ndio uanajeshi🤣
2025-07-21 09:47:53
3
hassanihassanikat
Hassani Hassani katundu :
majeshi ya kiafrika ujinga tuu wenzenu wanagundua mabom nyinyi kazi mizoez tuu
2025-07-22 13:23:18
1
yunus.muhenga
Yunus Fernandez :
kumbe ndio maana wakija mtaani wanakua wakorofi
2025-07-23 12:10:51
1
rahimu.iddi8
Rahimu Iddi :
natakajeshi apobakora kashakurasana utakuta kosakubwa kazarafirimbi irivopigwa kacherewa kufika arafuanaridi kitaakusarimia wazaz anakuta raia umevaa kombati yajeshi umenunua mtumban aisee
2025-07-21 02:28:30
4
mangitenimangaa
mangitenimangaa :
hivi hayo mazoez yanasaidia nn vitani,kutesana tu
2025-07-21 15:44:37
1
yohanaamos1123
yohana amos :
mlegezee kamba
2025-07-20 20:19:15
4
namurobert23
NAMU ROBERT :
I will be very happy when my application is considered 🤣🤣🤣🤣
2025-07-22 09:40:00
1
slobodanvanmilosovic
Slobodan van Milosov :
Bora kuuza miwa au kukopesha vyombo
2025-07-21 08:39:26
2
yohana.charles69
yohana charles :
kaka ukitoka hapo ukakuta kuna fara anavaa kombat ya jeshi na sio mwanajesh? utamfanyaje
2025-07-21 06:10:06
2
paulopeter473gmail
[email protected],,👂🔥 :
Moja wapo ya mazoezi ya kikomando ndio maana huwa sisi sio wachokozi
2025-07-22 14:35:31
1
emmanuel.halaja8
Emmanuel Halaja :
sana broo kaza family
2025-07-21 04:04:53
5
user7091506782104
user7091506782104 :
kazi kazin 😂😂😂
2025-07-21 15:30:28
1
kateetemusa115
mwesigye Moses :
nazani hiyo elikuwa siku ya nyama.
2025-07-23 10:49:16
1
estooh99
admin_estooh :
Where we make men out of boys🦁 wakati mgum haudum amini leo haitakuwa kesho🥷🥷
2025-07-22 10:24:26
4
To see more videos from user @jay_mjeshi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About