@dogo_rema: mashabiki zangu mkae mkao wa kula sun tu tunaachia ngoma

Dogo rema
Dogo rema
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 July 2025 19:54:51 GMT
1595453
108427
3371
1717

Music

Download

Comments

badmanteo305
Badman_Teo👑 :
kama unamkubali dogo rema ngonga like apa🔥🔥
2025-07-21 20:00:11
1046
reese_nexers
iam_nexers🌀 :
msanii anaimba manager anachamba 😂😂
2025-07-21 20:50:27
3267
adelatyla
Official Dela :
dha😂😂😂😂umejaribu kulima shamba kwan hiz ndio gan🤭🤭
2025-08-02 04:59:50
0
babecute227
OFFICIAL J💕💯🦋 :
Tunao mpenda Mungu like hapa
2025-07-31 18:31:14
20
its.ramy5
it's Ramy :
iyo jezi ya doto magari inaitwa mixx by yas😂😂😂😂
2025-07-22 15:43:27
442
luic.boy
luic boy :
kama una mkubali dg lema like ap😅😅🥰
2025-07-21 20:37:01
200
misoh_k93
Misoh_k93 :
Msanii anapiga chorus alaf doto anaingia kama mrisho mpoto 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-22 10:27:22
611
graphical1907
Papy_yg 💙💥 :
msanii anacheza ad maelezo ya meneja 😂🤣
2025-07-22 06:45:47
303
himdiiz7
Himdiiz@ :
wasomi Hi
2025-07-30 22:22:34
0
h.j.hoffi
haruna juma hoffi :
msanii anaimba meneja anashambulia kutokea pembeni😂😂😂
2025-07-22 15:48:52
113
user79080004942176
Nuswayba arman :
mungu ndio kilakitu washamba nyie 😂😂jamani kipenzi unae soma comment juma nne mungu akupe maisha marefu ☺️
2025-07-22 06:06:24
164
bshwtee
Zayn :
mzaha mzaha ataanza kuwala wakina kajala😂😂
2025-07-21 21:38:13
771
lugesteven
Luge Steven :
hili goma hatali
2025-07-23 05:10:19
7
djnicolass255
DjNicolass_255 :
doto magari anaingiza sauti kama mariamu migomba kwenye taarabu😂😂😅
2025-07-24 05:47:21
7
liffa_19
Young liffa :
dotto acha bas tuisikie nyimbo tufanye challenge😁😂
2025-07-21 21:58:43
35
user725814859624
jackson kayombo :
Mungu dereva
2025-07-22 05:29:23
11
viv_cute
VIV CUTE 😍 💓 :
huyu msanii tunapoelekea atakuwa kiziwi na hizo kelele za boss wake🤣🤣
2025-07-21 20:53:58
77
zabmontana
official montana🤍❤️ :
pale akil ya msanii na meneja znapofanana🤣😂
2025-07-22 09:51:28
41
shabir_shirazy
COXWAIN_SHABIR🛥️⚓ :
alafu kama dotto magari anaimba km mrisho mpoto😂😂
2025-07-22 09:45:27
15
mrkidampa
Ade Misifa :
Mungu ndo kila kitu washamba nyiee😅😅
2025-07-22 10:01:15
8
vanecute0
@rehsuly55 :
😂😂😂😂😂😂vituk vitupu
2025-07-22 10:33:07
6
binti.maduka6
BINTI MADUKA🇹🇿🇰🇪🇴🇲❤️ :
Siku zijazo utasikia kuna mtu anajikuta mrs rema😂😂😂😂 hii dunia hatar
2025-07-22 03:34:03
18
akwiz_kellash
AKWIZ KELLASH👽👿 :
tukuone kweny music video 😂
2025-07-22 04:04:41
14
user155465612078
Obbychancy👄 :
Rema alivyo komaa kucheza utasema anacheza vya kueleweka 😂😂
2025-07-22 09:56:53
36
adil.classic.wear
adil classic wear :
Msaniii anaimba na kucheza meneja anachamba wasomi😂
2025-07-22 03:54:31
20
To see more videos from user @dogo_rema, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About