@bmm.tanzania: 🤣🤣🤣#bokomemes #bmmtanzania #bokoviral

bmm tanzania
bmm tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 July 2025 12:31:43 GMT
222986
9500
107
665

Music

Download

Comments

user44811019682215
jumah hamice :
ata nione mwizi anaiba sisemi maana ukisema wanakushikilia et mpaka upelelezi umalizike
2025-07-22 13:57:34
25
ismailnashon578
Ismail Nashon :
Tena siku ambayo unampango wa kuvusha siku hiyo majirani hawalali mapema, sijui kwanini 😂😂😂😂😂
2025-07-22 17:15:44
13
expensivebrown08
Expensive Brown :
wa kwanza ku like na wa kwanza kukoment nifanyie kitu kwa ijayo
2025-07-22 12:40:29
37
user5412983355365
Shamimu2018 :
niseme halafu nikakae nyuma ya nondo we sio kweli😅😅😂😂
2025-07-22 16:02:55
9
neina.joshua
Neina Joshua :
hayo ndo yamtaani kwetu uku jamani😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-23 07:22:16
6
detectivemikeb
detectivemikebatista 💪🤨 :
kweliii bambo, naogoooopaa 😅 lakini nacheka
2025-07-23 01:15:59
6
malone_265
Official M💙 :
Naogopa lakini nachekooooo🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-22 14:16:52
36
nuhu.luhambati
Nuhu Luhambati :
hahahaha naogopa lakini nacheka
2025-07-22 20:13:01
2
.dogoedo.dogoedo
Dogoedo Dogoedo :
Bwana Yesu Asifiwe🫵🫵🙏
2025-07-24 09:29:35
1
user134218058
Angel :
Naogopa lakini nacheka 😂😂😂😂😂naogopaaaaaa
2025-07-22 21:05:26
4
cbefinalist
Melanie 🦋🦋🦋 :
uswahili lazma 😅😅
2025-07-22 14:53:58
2
user274753913304
MOVIE BOX :
tatizo ukicema nimeona unachukuliwa ukawasaidie polisi Tena ukifik unawekwa selo 🤣🤣🤣
2025-07-22 12:47:59
5
lamysaid78
lamysaid78 :
😂😂😂utashuhudia ya dotto magar
2025-07-22 22:15:20
1
kajjompemba419
Kajjo Mpemba :
Mtaan kwangu kuna majiran wambea hatar yaan cwapend🤣
2025-07-24 14:48:11
0
kiddy.jay21
Kiddy Jay :
kama unamiaka 23 mpk 35 na auna nyumba wal gar usijal haupo pekee yako.. naogopa lakn nacheka naogopaa lakn nacheka🤣🤣
2025-07-24 09:41:40
0
obesitytips
Obesity Tips :
ila kweli kuna watu wanaona aloo😂
2025-07-23 06:49:48
0
11boss.linda
11@boss linda :
Jaman Afande alen 😂😂
2025-07-24 12:05:01
0
saimoniluchapa122gmail.c
user862518077709 :
shida nimoja2 polis ukiongea2 kuwa uliona tayar wanakukamata ilimshilikiane kuwatafuta wez
2025-07-23 05:52:40
0
user6593493521448
Adkins :
naogopa lakin nachekaaaa
2025-07-23 20:37:40
0
hadijamntambo
hadijamntambo :
Sasa kama hao wa usiku wa manane niliwaona nisiseme alivusha mwanamke
2025-07-23 15:39:56
0
samarikikapulwagmail.com
samariki seng,onde :
iyo ni Tanzania au kenya
2025-07-23 11:40:51
0
juniorjoshua60
Junior Joshua :
tena utasikia demu mwenyewe mbovuuu ila majirani bhana😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-23 04:32:49
0
user756831688276
sabrahan🤗🤗 :
😂😂😂 umbea kaz
2025-07-23 09:05:55
0
user4460146908161
faithjm :
askari alivusha majiran wakasemelea au basi😂😂😂
2025-07-22 21:43:28
0
careen.jonas
Careen Jonas :
haya sasa wale tunao ishi hata majirani hatujuani
2025-07-23 06:45:26
0
To see more videos from user @bmm.tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About