Ni kwanin Nguruwe ana mafuta mengi lakini hana presha kama binadamu
2025-07-25 07:06:05
2
aisha :
hata masikn hawana majin ila nilicho ngundua wanakuaga na jazba yamaisha mawazo yanakuaga yamezdi sana kchwan
2025-07-26 13:33:02
1
JAYKO 🇹🇿 🇯🇲 🇿🇦 :
hii nchi ukiwa huna hela kila kinachoongelewa utaona unasemwa wew 2😁💯✌️
2025-07-23 10:04:12
50
gloria da christina :
Najiulizaka pia
2025-07-25 08:58:11
1
@ hellen :
karibu mchezo wa kulike video 3 vipenzi
2025-07-24 08:14:34
3
Apostle DANIEL E. Timothy :
MPUMBAVU MJINGA WA MWISHO KABISA, Kasome Biblia utaona na kuelewa.
2025-07-23 03:41:29
8
fredrickmsamba :
tafutenhela huo ndo ukwel
2025-07-24 12:15:57
1
Noely Stanley👉👉👉👉 :
Broo hayo n mawazo yako binafsi,na ndo uelewa ulionao kuhusu imanii cku ukijuwa kuwa matajiri ndo wamiliki halali wa majini usingeongea ivoo👹👹👹
2025-07-25 08:30:16
0
Bizzour R 1 :
shetani ha hangaiki na watu ambao anajua any time tu akiwahitaji atawapata, so yy anakomaa na wale ambao ni wagumu masikini wengi wanaamin sana Mungu
2025-07-23 08:50:37
1
Amina Ally :
kweli kabisa ata ukiangalia shule wale wapata ziri ndo huwa wanamajini
2025-07-23 04:40:51
0
daluu :
Majini ni stress na hasa ukiwa huna pesa na hali ngumu yakimaisha ndo kabisaa na wakati mwengine inasababishwa na stress za ukoo unakuta familia ina hali ngumu yakimaisha na kila anaejaribu kupambana hafanikiwi hapo tena majini huanza 😔huwa ni msongo wa mawazo
2025-07-23 07:19:48
2
justin🦺🇺🇬 :
ndio maana sijawai patwa na majini kumbe sio matatizo yetu sisi.
2025-07-24 17:41:01
1
agripina mzuma :
kama kweli vile😂😂😂😂
2025-07-25 08:03:16
1
CharlesChrispin :
jini au pepo linakaa kwa yeyote yule, sema tumetofautiana utulivu tu. Kakae nyumbani kwa tajiri, ishi nae kwa muda, utahisi umeonana na shetani laivu. utasema huyu mtu au pepo
2025-07-25 06:23:33
0
Kurwa Mashaka :
tafuta hela tajil hapadishi mashetan
2025-07-23 05:26:59
11
Hasas Saeyyd :
ndugu huna usichokijuaa ktk maisha inatakikana ufuatilie kwnza ndio useme
2025-07-23 04:30:21
0
dotto :
Mwamposa alimuombeaga mama yetu mweshimiwa samia ata hakudondoka lkn maskn niatali
2025-07-24 08:18:24
0
Tausi Tausioman :
hili nalo neno kwakweli
2025-07-23 02:51:00
1
mfahidhina :
wewe mjinga leo umeongea pointi
2025-07-22 21:15:40
70
🇪 🇻 🇦 🇳 🇨 🇾 🇬 🇺 🇾 :
mimi osicar nakubali kabisaa tajiri uwezi kumkuta kwenye ibada za mwaposa
2025-07-23 03:56:52
14
Omary ⚽✌🏿 :
Ila😂😂😂😂
2025-07-24 09:33:22
1
ibrahimpatrick5 :
TUTAFTE HELA TAJIRI HAPANDISHI MASHETANI😂😂
2025-07-24 10:55:06
2
Zabibu Makampu :
kwakweli umeongea kweli wa kwetu ushokora
2025-07-24 19:33:13
0
Jerome@mchaga 0g :
Tajiri alogwii
2025-07-22 21:54:28
8
To see more videos from user @alphoncemaiga, please go to the Tikwm
homepage.