@tfw_moraa___: Unaona aje 🌚 jersey inakuja peke yake , package outfit inakuja na hoodie, tshirt na wristbands 😭✅#matatuculture #jersey
tfw_moraa___
Region: KE
Wednesday 23 July 2025 08:02:16 GMT
Music
Download
Comments
👽kipkirui :
Hii inataka knowledge ya Harvard university
2025-07-23 08:09:03
36
dris🫠 :
wueeh😂adi kiswa ppr 3 haikua ngumu hivi😂
2025-07-31 20:49:50
0
🌠klintoh🎰🎮🎯 :
Heri outfit ya nganya😂
2025-07-23 11:06:25
41
Krissy👑 :
wacha izi, let's overall na theme colour ya nganya 🔥💯
2025-07-24 14:39:57
0
🧠Bill!!! :
hio jersey ya man city ya black...aiii pale kwa yaga Nini Nini akili mtu yangu😂
2025-07-25 08:45:06
1
Your local Rapper :
DILEMA IKO HAPA HEHEE😂😂🔥
2025-07-23 21:15:01
3
👽tonny :
sawa basi umenipata unaeza pata jersey ya man u ya purple na customs za shimoli
2025-07-25 05:13:18
0
m.w.a.n.g.1.ii :
kina bruno hawanijui leta tu ya nganya😂
2025-07-26 12:18:46
3
🇨🇦 KAGZ😡 :
Kama si hawa watu wanono kutembea pole pole sai tungekua timefika August 💔😌
2025-07-24 16:16:37
0
Joe :
ata exam haikuwangi ngumu ivi
2025-07-24 11:22:17
0
🇨🇦JEM🤩H💯 :
kwa nn si zote kamum😂😂😂
2025-07-23 15:19:10
5
toxic wap 20e93 :
jersey hao wengine wapee outfit ya nganya
2025-07-24 17:08:25
0
palmer 🤑 :
nipeweee tu hio ya nganya🔥😂😂😂🥰kamam😂😂
2025-07-24 10:17:15
0
🧠Bill!!! :
hata jesma haikua ngumu hivi
2025-07-25 08:45:15
1
Joe :
ata exam ni ngumu ivi
2025-07-24 11:22:46
0
eddy :
package ya nganya
2025-07-23 18:35:54
1
weekey :
@ASH🩷 pitia😭😂
2025-07-23 20:54:07
1
Ribcracker254 :
😂
2025-07-23 12:23:42
1
🦋🤍KAREDI🤍🦋 :
@HATARIMAN💀 😂😌
2025-07-25 04:17:07
1
To see more videos from user @tfw_moraa___, please go to the Tikwm
homepage.