Juzi hapa ilikua na wagombeza watoto wangu nikawaambia nyinyi ni nyama ya mwili wangu ila ndugu yangu ni nafsi yangu. watoto ni wadogo bado lakini hilo neno hawatolisahau na litawaongeza katika maisha yao. Alhamdülillah .Ameen .Maneno yako Yamenyooka.Allah utufanyie wepesi.
2025-07-23 16:05:38
36
mahily :
nakuombea dua uishi maisha marefu sanaaa inshaallah
2025-07-24 11:27:43
14
abubakarramadhan47 :
Hakika
2025-07-26 09:11:55
1
Nayzab Creations :
shukran jazakallah kheri Allah akulipe na kukuzidishia zaid na zaid kwa mawaidhaa
2025-07-23 21:17:15
4
Jeanne Mapendo :
Mimi ni mchristo ila mafindisho yako yananifundisha vitu vingi sana🙏🙏🙏ishi maisha marefu
2025-07-24 16:07:09
3
Capo Chino :
Mashallah ukweli mtupu kaka Allah Azidi kukubariki na akupe mwisho mwema rabil aalameen yarabby..
2025-07-25 14:30:37
4
ummrayan123 :
Mashaallah mawaidha mazuri sana. Dunya ya Leo ni mtihani sana hasa familiar zikatoka nje ya africa. Ndugu hawanani na wale watoto wao pia hawajuani. Sikitiko kubwa.
2025-07-23 19:39:27
3
Mansa Shuayb :
MashaAllah Allah akulipe kher brother kwa maelezo yako sahih ... 🙏
2025-07-24 21:33:38
2
Radhia Mtindi :
Allahuma Aamiina
2025-07-26 16:48:30
1
Faraway :
Allah atuongoze na azudishie mapenzi kwa ndugu zetu
2025-07-24 10:57:38
4
boy :
sisters brothers unawambia tuwasaidie wazee tushirikiane unakuta wanakuachilia pekee yako uwahudumie wazee miaka nenda miaka rudi, kweli hao ni wenzako?
2025-07-25 10:53:51
1
MINISTER OF ENJOYMENT :
kwl
2025-07-26 06:55:39
1
my name :
Ahsante kwa ukumbusho
2025-07-24 09:30:55
7
am12345 :
al hamdulillah i'm satisfied with my siblings
2025-07-23 21:30:48
5
salha hashim :
ni kweli broo
2025-07-25 07:21:51
2
atjdkenماااااا :
kweli kabis
2025-07-24 09:10:08
4
lady hannee :
MASHALLAH elimu nzuri
2025-07-23 23:03:08
3
Nasrah Ommar :
kweli usio pingika 👏👏👏
2025-07-24 10:24:54
2
Ameir Abdalla :
Nimekuelewa sana kaka
2025-07-25 13:18:20
1
khamis661 :
Ameeen barakaallah
2025-07-26 17:53:12
1
Zanufa :
wallah tumeongea point
2025-07-23 19:08:10
7
USTADH_IMRANI :
Allahu akbaru 🙏
2025-07-24 16:42:09
1
shengovi :
Asante kwa ukumbusho
2025-07-25 14:03:23
1
Alphonce Mfuse :
ukweli
2025-07-26 08:26:33
1
kadirdhulfiqaar :
well said👏
2025-07-26 08:49:45
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm
homepage.