@yangu_imani: maisha yanahitaji kuwa na subra hata kama ni wakati mgumu kiasi gani unaupitia🙏🙏 #harmonize #milladayo #southafrica #deroshi #wafcon #tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral #trendingvideo #challenge #motivation #tiktokindia

IMANI YANGU
IMANI YANGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 July 2025 14:38:23 GMT
72822
8827
164
222

Music

Download

Comments

kelvinmasatu1
Calvin :
soko zima la kariakoo limekupiga wewe ulikuwa mwiz au?🤔
2025-07-23 23:13:40
12
gazagaza079
Gaza :
ila kichogo unatema madini
2025-07-24 04:43:11
16
makula8609
makula :
sana tu my big brother kweli
2025-07-26 06:48:37
0
la_saba_b
La_Saba_B✝️ :
Maneno yamebeba ujumbe mkubwa sana
2025-07-23 20:21:05
34
mudric_s9
Mudric_s9 :
Aminiii
2025-07-24 05:27:40
5
sammydee445
Sammy dee :
😂😂 iyo yakupigwa 🙌😂 ila maisha haya yana siri kubwa mno 🙌
2025-07-23 21:19:15
4
baridastev
Baridastev :
muhidumie mtot shule kama umejipata
2025-07-23 21:46:03
4
amadoo657
@amadoo :
Pole sana kaka mkubwa mvumilivu..subra 🙏
2025-07-25 03:47:47
5
moodykipla
moodykipla :
salute 🫡 🖖
2025-07-24 19:05:56
1
rockshizzytoz
rockshizzytoz :
🤔🤔🤔😒😒😒 kweli bro subra muhimusana maishani
2025-07-24 04:49:45
5
yangu_imani
IMANI YANGU :
maisha yanahitaji mbinu na kanuni zake sio kuwa na haraka Wala tamaa🙏🙏❤️
2025-07-23 14:39:59
3
kazinikazimotors
kazinikazimotors :
Subira huvuta kheri Sheikh wangu Dotto Magari.Alhamdullilah🙌🤲
2025-07-23 23:45:01
5
dayooo_69
dayooo_69 :
anayesoma comment hii 🥰 mungu akulinde 🙏
2025-07-25 11:26:03
12
bonifasimahenge38
Bonifasi Mahenge :
ukiwa m bunge tambu atafanyiwa nanani kazi broo daha unaiacha familia yako tambuu utakua bize utaitwa m bunge doto ☺️☺️☺️☺️
2025-07-24 07:19:50
3
bugawhyless48
.BUGGA boe whyless 💦 :
Kumbe walikuwa wanakupigia nyanyaa 😂😂😂🔥
2025-07-23 21:20:05
7
sammh.classic
Blackwiz :
umeongea k2
2025-07-23 17:57:15
3
officialgeniuse
officialgeniuse :
tunao mkubali dotto magari gonga like 😳
2025-07-24 10:44:50
7
jselectronic100
jselectronic100 :
Respect 🫡 🤝🤝🤝🤝🤝
2025-07-23 18:21:04
3
pacha_wa_mbosso
pachambosso :
subl ndo kila kitu
2025-07-24 06:32:18
3
mishepu0
mishepu :
Kwahyo ulikuwa Mwiz dotto 🥺
2025-07-24 08:33:33
5
ahvantz
Ahvantz :
uko sahihi kaka mungu akubariki inshaallah
2025-07-24 11:29:19
7
sauti_ya_mtaa
KISAUTI CHANGU :
subraa ndo Kila kitu kaka
2025-07-24 13:57:17
9
user1733458054729
hassan :
mashallah Subra mina Rahman Yaa Allah tujaalie Kila la kheri 🙏🤲
2025-07-24 03:45:44
4
user9170481113273
mahily :
mbona anasemaga mwenyewe alikua mwizi 🤣🤣🤣
2025-07-24 12:19:39
7
abujubujuuu1
⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️ :
subra ibada ngumu MUNGU atujaalie kwenye hilu
2025-07-24 18:30:49
3
To see more videos from user @yangu_imani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About