@bambalivetz: #bambalive

Bamba Live VoxPop Comedy Show
Bamba Live VoxPop Comedy Show
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 July 2025 14:45:51 GMT
77119
3697
189
564

Music

Download

Comments

comedian4130
j4yn :
mjomba jaman kwann unajiaibisha nilikuonyesha kwenye simu ukimuona mkimbie sikwambii tena auncle
2025-07-23 14:55:47
43
salma.mmanga
Salma Mmanga :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila uyu kaka ananivunja mbav
2025-07-24 10:21:46
0
cham.saidi7
CHAM 💸 SAIDI 💸 :
⛎:Kuna jamaa hapa anasoma komenti na haandiki kitu chochote. Habar yako boss???🙏
2025-07-25 15:35:14
0
katega_wa_pili
Wilson William Kategaya :
Dar kila mtu anajua😂😂😂😂
2025-07-25 11:36:32
0
sweetnonoo
NONO 💕 :
Bagia za kunde 😂😂🙌🏽
2025-07-24 20:56:38
0
katumbi0
Doris.dalu :
You always make my day 😹😹
2025-07-25 10:58:01
0
chidyboy2022
chidyboy2022 :
broo hutaingia mbingu mwanangu😂😂
2025-07-24 11:37:46
0
fareedray6
C̑̈ool B̑̈ȏ̈y̑̈ 😎 :
Wakenya msiingie humu 😁
2025-07-23 19:14:20
5
mahimbotz
MahimboJr :
Inauma kum-miss mtu ambaye hakuulizii hali yako, na kumpenda ambaye hakupendi.
2025-07-23 19:24:09
7
user9024088032148
Kim fetty :
😂😂😂😂😂😂jaman
2025-07-25 20:19:17
0
dula_magari
Dula_magari :
We Mbona unadhalilisha watu😂
2025-07-23 21:20:00
0
user5302771980098
black yem# :
bongo ukizubaa2 wamepita na ww 😂😂😂😳
2025-07-23 18:14:30
8
matias.shaban
Matias Shaban :
sheuna feli wapi baba
2025-07-24 22:07:09
0
lizzymartin1
lizzy Martin :
baba ake nani uyo akamuokoe asiendelee kudhalilika
2025-07-23 19:34:16
1
chxhi_7
Chxhi :
dhambi jmn 😂
2025-07-24 07:30:31
0
christinageorge61
Christina George :
🤣🤣nimecheka xanaaa hapo utaskia mm nilikuaga baharia
2025-07-24 18:48:08
0
user4548969102546
charlzy musomaboy :
unabisha ulikuwepo 😂😂😂😂
2025-07-23 15:23:38
24
choggo.lizzo
Choggo Lizzo :
kumbe- manzeshe ukitaka bagia inabidi uulizie" washroom."😂😂😂😂
2025-07-25 17:51:36
1
pinkppinkpro
pink promise :
we mkaka mbingu Utaiona kwa view once
2025-07-24 08:32:29
0
montanmontana2
montanmontana :
heeeh jamn baba jamary namjua hyu mimi
2025-07-24 18:58:36
1
umulovnathan
umulov❤️ :
anawaotea sanaaa😅
2025-07-24 08:12:19
0
forgetkiwelu
Forget Kiwelu :
Mjomba wa nani uyo
2025-07-25 17:12:35
0
it.ryder1
It.Ryder$ :
Fateni mzee wenu 😂
2025-07-24 10:25:32
0
jotshuah
Jotshuah Emmanuel :
basi unajikuta umepatia kweli kuwadanganya watu kama ivi
2025-07-23 20:48:57
0
mutindadaniel
mutindadaniel :
wacha sisi wakenya tunyamaze coz tukiongea mtasema tunawaonea🤣🤣🤣🤣
2025-07-25 06:29:11
0
To see more videos from user @bambalivetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About