@foodloverstz: Wapenzi, tukiachana na figisu za mtoa maelekezo wa makazi hapo kwenye recipe yetu kama hutumii mayai unaweza kuweka ndizi mbivu kama mbadala. Machine nliyotumia mnaipata @Vyombo Centre , anatuma popote ulipo kwa uaminifu. Halafu tukubali au tukatae hao wanaoishi Dar wanatamani sana wapate vitumbua vya moto moto nje ya mageti yao ila ndo hivyo tu muuzaji wanakosa 😆😆.

foodlovers.tz
foodlovers.tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 July 2025 16:39:55 GMT
77406
2908
48
144

Music

Download

Comments

faah2084
Faah🥷🍁… :
Gongolamboto masaki tunageuza na gari sanaaa🤭😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-23 17:20:46
14
leviee_sam
🦋🦋leviee🦋🦋 :
Kweli magari saba ni Daaaah!!!
2025-07-23 16:47:05
2
.mcjonas
MARCK JONAS :
mnazo mmoja?
2025-10-18 17:46:45
0
samayvfzdif
@£^& :
🤣🤣 hapo bomb mbil sijapend
2025-07-23 17:43:37
0
user50985341708718
Asmaa :
Sasa mama zai kaingiaje hapo jmn daaaah😂😂😂
2025-07-23 16:56:23
0
jackline.y
Jacqueline :
just imagine mtu unakaa mbagala ukishuka rangi3 unapanda Bajaj buku unashuka unapanda tena boda buku na jero hapn dalali ww lazma nikblock😂😂🤣🤣
2025-09-06 17:01:36
0
rich.auntie31
Rich 😍 Auntie🤑 :
Niko hapa buguruni chumba elf30 na niko dar
2025-07-29 11:14:35
0
user5146329047181
femmy :
nip mmbande chumb chng nalipia kodi 50 nanyumbn wanajua nip dar
2025-08-01 20:57:38
0
miss.zuuh5
Miss zuuh💃 :
😂😂😂😂imenibidi nichekee wallah 🫴🙌
2025-09-05 17:31:02
0
zaynabmohammedy1
Zaynab Mohammed733 :
hapo mama zai jaman😂
2025-10-06 11:36:00
0
user3770998286639
cute rose❤️ :
Masikini huiahi dar 😂😂😂😂😂
2025-08-07 03:08:51
0
user639737387960
sophia :
hicho kifaa kinaitwaje na ulinunua wap?
2025-08-03 13:16:00
0
cathy_ritho
Cathy😼😼 :
wale wa kiwalani😁😁😁😁
2025-07-26 11:35:36
2
tumainimwambawetu
tumainimwambawetu :
sorry momy ukitoa recipe tuandikie na vipimo plz kama ni grams au spn samahan lakini ni vile napenda tu mapishi yako
2025-07-23 20:45:59
1
merrymerline
mérry merline :
Nakupenda sana dear
2025-07-26 10:37:13
0
ilhamz199
ilham❤️ :
gongo la mboto Bomba mbili hdi nimeiona aibu jamaniii 😂
2025-08-28 14:17:04
0
bintikolatanga2
bintikolatanga :
jina la pishi
2025-08-30 14:55:44
0
nellyclassic_
nellyclassic ❤️ :
Kama hatuna hicho kifaa cha kupkia jamn sis🥰
2025-07-23 18:56:02
0
bibaahh7
bibaahh7 :
Naomba vipimo
2025-07-24 18:53:28
0
salome.pole
Salome Pole :
safe sana
2025-07-24 12:56:15
0
user27581296988861
user27581296988861 :
nakupenda we mdada
2025-07-23 16:52:34
2
shedid123
she didd :
Sister tunaomba receip ya chauro please 🥰🥰🥰🥰 please Sister
2025-07-23 17:10:55
0
therealsweetheart3
♍️!♏️!🌹 :
kivule frem 10@🦋 Lizzymine 🦋 @Fin£Win£🍷❤️
2025-07-23 19:44:00
1
candyjeyy
candyjeyy :
❤❤❤
2025-08-17 09:46:55
1
babrah4295
Babrah :
2025-10-24 21:12:15
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About