Ata sisi tumekubaliana kama madem Ati 1st August ndio itadetermine kama mnapata jersey 🤝
2025-07-23 18:29:23
967
Mars :
mkipata plug wa Jersey za mtumba mniambiee😂😂
2025-07-23 23:46:58
413
colljonsdew1 :
kumi na nne supuu kumi na nne bora😁😂😂😂
2025-07-29 10:22:17
1
williano 🥳 :
mi naye sijai ona fun wa manchester na jazi origi
2025-07-24 09:55:12
3
Mziza :
hiyo maneno umesema, siku utakuwa rais utafanya hivo😂
2025-07-24 09:03:31
1314
✨Lavigne🌙 :
kujie jersey huku na 1600
2025-07-24 07:43:37
7
Tessy❤ :
500??madem kujeni hivi niwaplug za 150😭😭😂😂😂
2025-07-25 03:51:25
116
Helena🎀 :
na ya 300??👀🙂
2025-07-24 16:21:28
3
precious 💫 :
namnunulia hiyo ya 2k as his last gift then nimuache juu niliona kuna assist mahali😊
2025-07-24 10:03:14
38
Nelly😍 :
kwani how much is the original one?
my men can't be craving for little things that I can afford 😩😩
2025-07-29 18:47:15
2
kare☆ :
wenye wakona game ndio wanapata origi😂😭
2025-07-25 07:15:49
43
Mr Records 254 :
ni Nini mtu inafaa afanye 1st Aug kabla sijaaachwa wakuu
2025-07-24 19:20:28
4
🦋Muthoni🦋 :
kwani haikuangi chwani😂
2025-07-24 07:43:38
28
@shee :
Faev hundred yote jamani😂😂siwezi pata ya wan fefte😂
2025-07-24 07:24:08
68
🐾it's jojo😍 ___ :
na nilikuwa ninepata ya 300😭😂😂
2025-07-24 17:24:46
0
💕❤️vickie😍🫠 :
labda ikue na jina yangu uko nyuma main avae akiosha vyombo 🤣😃
2025-07-26 11:53:11
0
loviso de fesbruno💕 :
FYI there are no original jerseys in Kenya 😂😂
2025-07-24 10:56:48
51
MC LIONESS 🇰🇪 :
mi nangoja nimuone na jersey aniambie alitoa wapi😂😂😂
2025-07-31 20:02:45
3
✨🦋 Mpensiii 😫💜❤️ :
hii haijafikia mtu wangu 😂😂 ficheni pls
2025-07-24 12:22:22
4
juan👸🏽💕 :
nangoja ziingie gikomba na mia tatu nimnunulie pamoja na short
2025-07-24 17:20:17
13
Rose 🌹🍒 :
Unamnunulia Jersey anakosa kuperform 😭
2025-07-24 17:10:57
13
Dennis M✨️ :
kwan jersey ilifika 500 lini
2025-07-24 12:10:04
0
Maybelline💜✨ :
expecting jersey from a lady you ignored on valentine's day is diabolical 😂naona wengi wenu mmerepost naisha - I thought y'all said maua achia nyuki? hallooo
2025-07-25 08:43:04
1
Petite_Tygress2 :
😂😂😂 munataka ya ngapi 😂😂😂
2025-07-24 17:03:27
1
Doniellah joel🇰🇪🇦🇪 :
na wenye tumeshika home kit ya player na away kit ya player tukae wapi😂😂😂
2025-07-26 10:53:20
0
To see more videos from user @ab.dalla01, please go to the Tikwm
homepage.