@neville962: Mbona wageni waujifanya😂😂 #fyp #fypviral #fun #viraltiktok #viralvideos

Neville 😊
Neville 😊
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 23 July 2025 19:53:42 GMT
207226
22911
462
3037

Music

Download

Comments

jamesmoenga0
jamesmoenga0 :
Fanya ya dem ulimkula alafu anafake mourn
2025-07-23 21:32:42
177
erupt_
Erupt :
Hii filter huanza kunichekesha ata kama Bado joke haijaanza😂😂
2025-07-23 20:06:45
408
tanashamutheuofficial7
🎀Tanasha🎀✨ :
guys zangu zimeshika Niko roof top na sioni stairs 😭😭
2025-07-24 14:34:51
8
mevin_a
Mevin The Introvert :
😂😂😂😂😂😂😂 happy day
2025-07-26 17:50:43
0
alujebevickie254
🤫Arall💯alujebe🙏🇰🇪🔥💙 :
walaih 😅😅niko sawa bro😂😂😂🤣
2025-07-26 18:44:55
0
macky8786
macky :
nifanyie moja ya makanga😂.....imebaki mtu moja😂😂
2025-07-23 20:01:34
11
hakimistyle17
Tribal Elder :
Pale kinyozi jamaa anadip kitambaa kwa maji moto inamchoma then anakurushia kwa kichwa na anakuuliza kama ni moto 🥺
2025-07-23 20:34:37
50
t.f_temary
Tecla Mary :
wueeeh kwani ady hiyo kikombe inachange shape 😬😅
2025-07-23 20:20:44
7
winstoneoyier
winstone oyier :
mgeni anamdomo baggy🤣🤣🤣
2025-07-26 16:11:01
0
kropen2022
kropen :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asantee kwa kunivunjia mbavuuu vile ulikuwa unatakaaa
2025-07-24 17:46:34
2
jangaaustine
Eng.Ajay.Jr :
Unajua kitu umefanyia mgeni halafu unamuuliza kama ako Sawa?🥹😅🫴
2025-07-23 20:11:05
38
hishvin
Hish Vin :
unanikumbusha ile ya pilipili 😂
2025-07-26 17:17:28
0
johnkuria512
JOHN :
hio mdomo hunibamba sana🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-24 19:10:23
3
jack.mohammed4
Jack mohammed :
lkn umefanya araka kuuliza ungemuacha tu aonje tena buana😁😁😁
2025-07-24 12:20:14
9
just.life81
Jazzy wolf🦊 :
na kikombe ni ya chuma!! bro utatii😂😂
2025-07-24 10:07:05
11
georgees53
Georgees Geo :
Hio kicheko ndio moto kuliko chai
2025-07-24 23:23:17
1
spotembon
A.B.S :
kuna waluhya fulani huko Idakho na Maragoli hawachomwi na chai..
2025-07-24 15:49:41
1
user7002384848151
happyGirl@700 :
tabia mbaya bebave mgeni
2025-07-26 19:18:38
1
missmeru7
ᴶᵒˢʸˡⁱⁿᵉ❤️💯 :
ata afathali chai kuliko waruu moto😂
2025-07-24 18:19:55
2
www.oduor.com
@Eric :
hiyo kicheko ndio hunibamba😂🤣🤣
2025-07-24 16:47:49
1
zubeyrow
Saciid Sergio :
mgeni ameteseka nikujifanya anajifanya😆😂
2025-07-24 18:15:08
2
joshua_okumu
Josh :
lkini hufanyangi poa walahii 😂😂😂
2025-07-23 20:48:22
2
ensinzer
ensinzer abiola :
kikombe n ya chuma yawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 analia kimoyomoyo🤣🤣🤣
2025-07-24 18:31:58
2
johnymuhatia
Johnny :
🤣🤣🤣🤣jamaa aliniekea chai moto hivo,haina sukari na ni strungi
2025-07-24 12:53:36
1
To see more videos from user @neville962, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About