pale Baba yako ameaga nyumbani anaenda Kutafuta kumbe akirudi nyumbani anakuja hivi 😭😭Mungu mjalie huyu Baba katika safari yake ya Maisha mpe hitaji lake
2025-07-25 00:10:46
282
jesca chitanda emiliano chitan :
wanaume wote mungu awatie nguvu na mioyo ya uvumilivu kila it wapo leo
2025-07-25 14:16:42
21
mildred melisah 💜 :
I rember in 2007 wakati vita ilianza baba alitupeleka vihiga yeye akarudi ku hustle eldoret oooh life was tough 'my dad used to ride a bicycle from eldoret to vihiga akiwa amebeba mahindi kukuja kutuona eeh mungu 🥲🥲🥲and we survived all through he never abandoned us 😘😘baba mungu akujalie maisha marefu hapa duniani
2025-07-26 07:00:10
232
🦋Ann🦋 :
if your father is still alive may God protect him🙏
2025-07-25 18:53:22
745
papa ocekx :
Dad I miss you
may u rest in peace
God protect all the fathers life is hard without them
2025-07-30 11:15:13
4
@Dabrath :
kama inampenda mungu like apa
2025-07-24 14:39:45
303
selvaskihanga117 :
Moyo wa huruma hulipwa na Mungu
2025-07-31 03:00:40
2
KINDNESS ✨🫱🏻🫲🏼 :
Though it dangerous but we pray for all fathers
2025-07-26 14:57:41
28
rasta_teeloo :
MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA WABABA WOTE DUNIANI🥰❤️🙏
2025-07-24 18:53:11
807
emmanuel fighter :
dereva ni mtu peace xanaaa na najua tu dereva mwenyewe kwa huo moyo wake atakuwa amefurah baada ya kuona hivyo
2025-07-25 06:13:48
37
Truphosa Muruka :
God protect my dad
2025-07-25 19:57:09
17
Billionaire blessing God'skid :
mimi sitaki help ya pesa but I'm going through alot i need sameone I can talk to🥺🥺🥺na ziko jokes I'm serious 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2025-07-24 17:19:19
81
Dolina Masella :
na imagine amebebea mkewe UNGA...amechoka kupeddal bike. Mungu bariki wanaume ambao hujituma!
2025-07-30 20:18:28
5
angeldominick550 :
baba yangu popote ulivyo nakupenda umenipambania san
2025-07-25 18:04:47
18
emmanuelHebron :
mzee wa hovyo kbisa huyu
2025-07-24 14:15:53
9
miss mom🥰 :
sasa kwa nn mm nilie😥
2025-07-30 12:05:33
2
Lizyb Kimario :
Dadddy 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔 Mungu awalindieeee baba zenu m natamaniiii nimuone nimuombe ushauri tuu 😭😭😭😭😭🙌🙌
2025-07-28 19:19:51
6
Sharon🥰Nyaboke📌❤🤗🍃 :
my dad died over a road acci💔😭
2025-07-26 09:45:08
12
Brayann Fladius :
pongezi kwa deleva ni msitaalabu sana mungu awatangulie kwenye safari yenu ya utaftaji
2025-07-25 22:50:15
22
zennah :
may God protect all the men including my dad 🙏
2025-07-25 18:15:52
64
William samuei ruto✅ :
how can i access this man oo✅✅✅✅
2025-07-25 14:22:27
24
nimfa :
alafu unakuta mzee ametoka kutaftia mtoto ada yuko huko dar anasoma chuo badala yakusoma anazunguka club akivuta shisha na vijana wa hovyo
2025-07-25 07:54:16
10
Naom kwamboka :
my dad used to take care of us but nowadays anatuombea mpaka kifo ..whoever is behind this will suffer the consequences coz the man is a change@d man
2025-07-29 03:16:06
4
Lightness Charles :
Mungu mbariki huyo baba kwanza ndo nifate mm
2025-07-24 19:14:29
75
To see more videos from user @twevehstore85, please go to the Tikwm
homepage.