@chomozatv: Mwl Dkt. Ellie anaendelea kuweka nondo katika ujenzi wa fikra. Mtu wa Mungu Sikiliza kwa makini upate kujifunza Mtu wa Mungu. Kumbuka Mtu wa Mungu unaweza fatilia Somo hili na mengine mengi kwa urefu zaidi Kupitia Chomoza Tv 📺 YouTube. Usikose kutazama. Nini umejifunza Kupitia ujumbe huu.? Weka comment yako hapa chini 👇 ( ✍️ chomozanews. ) #chomoza2025kuwabora