@mkigoma_tz: ILA WAJA 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌#comedytiktok #video #mkigoma_tz #tiktoktanzania #tiktokviral #tiktokkenya #squidgame #creatorsearchinsights

mkigoma_tz
mkigoma_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 July 2025 13:42:21 GMT
16544
1354
152
115

Music

Download

Comments

hamad.omary23
Hamad Omary :
chochote ndo nini,na kwanini chochote,chochote who??na hicho chochote kina kaa wapi,,chochote which?? na nani alikwambia mimi nina chochote😅😅😅😅
2025-07-24 14:05:10
13
user1965568742488
jamillah salum :
chochote kinapikwaje
2025-07-30 06:51:07
0
nihjyffer
nuiho :
kumbe ni ww😂
2025-07-29 14:57:28
0
erick.cantona93
Erick Cantona :
nani kapika chochote🤣🤣
2025-07-30 10:54:48
0
user9449827906025my
Charlotte :
wew.chochote kinauzwa wapi na nani anauza hicho chochote
2025-07-24 20:01:13
0
gracewambo311
🦋🦋 :
na kwanini nikuwe na chocote 😂😂😂😂
2025-07-24 16:48:50
2
user3909334235233
Emaah! :
hakuona kingne mpak achague chochote🤣🤣🤣
2025-07-25 05:27:41
0
eliabumlowe
eliabumlowe :
kwan chochote atashiba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-26 11:01:34
1
azizi.gwaje
George Weah :
Kofia kama ganda la chungwa
2025-07-25 05:04:52
0
queen.ney68
Queen ney :
Niko na hiyo tabia kuanzia Leo naacha
2025-07-24 19:17:11
4
jovice90
@Jovice Jayden :
Nataman nicheke ila nipo kwenye kikao cha familia Bibi yetu kapewa mimba🤣🤣🤣
2025-07-25 05:11:10
1
user9733417079035
user9733417079035 :
na nani alikwambia chochote kinauzwa 😆😆😆😆😆😆
2025-07-24 14:07:26
14
bahathasan247
baby queen tz :
🤣🤣🤣🤣🤣 ila huyu baba looooo unatuvunja mbav 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-24 15:58:37
2
captain_papie
CAPTAIN :
KUBABAAAKEE😂😂
2025-07-25 14:22:31
0
tinosimba94
tinoSimba94 :
chochote hiyo who😅😅
2025-07-26 08:19:12
0
marrydaconsolata
mery da consolata :
utaniuwa siku yake heeee nimecheka paka nimejikojolea
2025-07-25 04:20:35
1
augistinkithonga
heri kambale :
na chochote kitatoka wapi 😂😂😂
2025-07-24 19:45:48
0
user7567205254302
barick justus :
😂😂😂😂 kwan chochote yeye anasemaje
2025-07-24 19:23:46
0
monicamwende4
🦋🦋MO CUTE🦋🦋 :
chochote kinini😂😂😂😂
2025-07-24 17:53:00
2
user180220399163
Anna🌹❤️🌹 :
kuna huyo mtoto😂😂😂
2025-07-24 18:06:47
1
user5781330687258
💖its_jojoh🦋💦✌️ :
kumbe saivi kuna chakula kinaitwa chochote😂
2025-07-24 20:46:36
0
neilahofficial
Neilah _Magari :
😃😃 Unanisema au
2025-07-24 20:02:24
0
amanimwambungu
Amani Mwambungu :
chochote ndo chakula gani😂
2025-07-24 16:03:20
1
salhadimpoz
salhadmpoz :
ndo mm huyo😄😄
2025-07-24 19:53:26
0
senprosia
Senprosia :
Ndo uniseme 🥹🥹🥹🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 08:33:29
0
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About