@doktanoel: Replying to @Jn M'bitiyaza

DOKTA NOEL 🇹🇿
DOKTA NOEL 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 July 2025 13:52:27 GMT
116255
2466
133
488

Music

Download

Comments

agripina.mzuma
agripina mzuma :
kweli kabisa
2025-07-24 21:34:10
7
salmaseif851
Salma seif :
Kweli kbs inapaswa kujiangalia sana tena kwa makini mnoo na ukwrli ni kwamba wanaume wengi hawataki kutumia mpira. Mungu atutangulie Amiiun
2025-07-28 04:42:57
1
gracemasolele
Gracemasolele :
mbona unaniogopesha🤔
2025-07-29 20:43:47
0
mamake.masha
mamake Masha,🥰🥰🥰 :
doctor nisaidie mawazo Niko na mimba ya miezi mitano na tuliachana na mume wangu nikiwa na mwezi mmoja ,,lkn alinipigia akaniambia niende nipime Hali yangu kwanza ndo nijibebe Ady sijaanza clinic ju I feel like I can get disappointed
2025-07-26 07:07:21
2
magy.andeso
Magy Andeso :
ukweli mimi niliwachana na mme wangu 2018 tukarudiana 2022 kumbe alikua na lengo la kiniambukiza ukimwi alafu aniache bro
2025-07-26 05:17:46
7
rachelfsingano1
@RachelFSingano :
X anarudi kukukomoa tu X harudiwi ng'o
2025-07-26 12:47:01
4
evandatha
Eva cute kids Collection :
Sijui ni mimi sijawai achana na mtu then nikarudiana na yeye 😳😳
2025-07-26 16:49:48
26
fayhabibu
fadhilah❤️ :
hivi mtu mwenye h.i.v shahawa zake zinaweza kukuambukiza ukimwi
2025-07-27 06:52:32
3
noelnekoye
dinaa 🩷 :
unaitwa Noel
2025-07-25 08:45:57
3
alfredomoti
Eng omoti :
mm niliacha nimeacha,na nikikushuku silali na wewe tena.kuna mwingine karibu anipee ugonjwa tulipata na yeye mtoto baada ya mwezi 7 kumbe alitongozwa na mwingine jirani Sasa .roho yangu ilikataa kulala na yeye kabiza baada ya mwezi tatu na nusu kumpima nikampata yukona virusi na mm Sina napia mtoto hakwa naye ,ogopa wanawake
2025-07-27 05:46:26
4
non01ol
_ :
ukiachana na mwanamke waga wanaenda kujivuruga, anatumia hasira wanapiga, wanaondoka mwisho anajikuta amelala na kila mtu
2025-07-25 11:35:27
0
afya_kwanza01
Afya bora na uzazi :
asante Dr kwa kueleza vzr lkn tusisahau kupima afya kwanza kbla ya kuingia kwenye mahusiano mapya wengi uwa tunafeli hap11o1
2025-07-28 13:31:15
0
faith.fay389
Faith Fay :
mm wangu ananikol koz Niko n mtoi akamwacha kaa ako n 6mnth Dhn ameanza kunikol kaa mtoi ako 4years siezi Rudi nymba tena
2025-07-29 14:17:06
0
dullah.kapita
Dullah Kapita :
nimekuelewa
2025-07-26 04:17:55
0
troy.store5
mercy :
kweli kabisa
2025-07-25 23:44:56
1
rachealnzisa
Hanukkah :
Ukirudi unarudia kifo mbele kuzuri enda ukiendaga
2025-07-27 09:48:00
6
ondesa2
Sasha :
eeeh nijikute walai 💔 mtu tumalize 2 months bila kuonana siezi mkaribia bila VCT wee😫🥺
2025-07-29 11:39:16
0
zenaann254
anne4493 :
nikweli kabisa
2025-07-29 06:28:30
1
chrisspaul03
Christopher, macha :
sio wana tafuta huwa yupo ana subiria tuu mpasuko
2025-07-25 19:38:36
0
mankapaluhengo
monie :
kaka mimi niliachana na mume wangu nikapata mtu kumbe ana ngoma ninacho shukuru sikupata na sasa x mume wangu tumeridiana but nimekoma nje apafai🙏🙏
2025-07-26 16:16:52
1
dan_muli
Dan_Muli :
Tukiachana tumeachana for good
2025-07-25 22:58:11
24
zorawakayole
Mrswekesa :
mimi heri nigongeshe matako kwa ukuta lakini siwezi rudia ex pooh🤣🤣🤣
2025-07-27 12:54:32
3
pasybrenda39
user1361294494994 :
mimi nae nakuwanga na roho mbaya nikikuwacha siwezi kurudi nyuma
2025-07-26 19:44:27
2
ilhamsia1
ilhamsia605 :
kabisaàa uko sawa
2025-07-25 19:34:23
1
arsenal4026
T.A. :
Kurudiana na Ex ni ujinga, upuuzi na ukosefu wa akili wa hali ya juu. NEVER.
2025-07-28 13:45:47
0
To see more videos from user @doktanoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About