hawq woria aki itabidi watoke Nairobi warudi north Eastern yao
2025-07-24 17:51:06
79
Hungo man :
Huruma corner leo kumekua fire
2025-07-24 20:29:58
10
barrycrockett617 :
IF YOU WANT THE WORLD TO SEE AND FOLLOW KEEP TO ENGLISH
2025-07-26 07:46:13
0
Sweety :
Evade or invade which is which
2025-07-25 09:22:10
2
politriks :
wajaribu tuwarudishe somalia
2025-07-25 02:22:22
12
👑 Madollar💸(411)🏍️🙏🙏 :
uko sure that's the story coz mm nliskia zngu
2025-07-24 18:24:27
15
Hamzaa :
story ya uongo hii
2025-07-25 08:52:37
2
Bancy Nizzy :
Aaiii c niliskia ni karao alipiga Walalo rithe Tena??🙆🙆🙆
2025-07-24 19:46:45
2
Hirbo Yusuf :
haapana ni mapolisi na maskari walikuwa wanamalizana
2025-07-24 22:35:21
8
happiness :
Ni walalu ... Kuna chali alimadwa Na Leo naskia kulishikwa pedi ..wakaviruga
2025-07-24 16:47:39
29
Moory :
This hate ya worias mmeanza ni gani. Woria mgani huyo anaishi huku.
2025-07-26 04:23:29
2
josphat mwaura786 :
Hawa woria wataonyesha wakenya mambo😳😳💔💔💔
2025-07-24 16:53:10
60
Mugothuo Mokorino :
kwani wanataka kutufukuza narobi
2025-07-24 18:41:00
9
Bybit Linkedin :
nani ako na linkedin account..??
2025-07-25 06:24:35
2
njugushmakeja :
Paid goons Mungiki leader signed an agreement with ruto, kikuyu hamna bahati.
2025-07-24 18:52:01
14
now you know :
Kenya ishaanza kuwa Vietnam 😂😂😂
2025-07-24 17:14:33
46
mercie mercie :
hii ni ya lini jameni
2025-07-24 16:26:40
5
nduthi kariobagi aka ngugi :
mimi niligogwa na mawe
2025-07-24 17:34:08
22
kijana mpolite1 :
tomba kariobangi
kiamaiko SIKU ZOTE 💯🔥
2025-07-24 19:33:34
3
joymaggie :
ni kubaya hadi saa hii ni teargas tu 😭😭😭😭
2025-07-24 16:59:00
34
Beth Kinyanjui :
kenya tunaelekea wapi
2025-07-24 21:20:41
0
shina M. :
Kuna mtu amelenga hapo kiamaiko hamna bahati. Kuhamishwa kwa lazima in the name of goons.
2025-07-24 17:19:26
18
WAN JIRU💖 :
The leadership of this country has gone to the dogs. we need to wake up and stop being distracted so easily,the education sector is being messed with, the health sector,public money being lost and can't be traced in kenya. We have one common enemy, let's not get distracted or tomorrow we won't have a country
2025-07-25 08:59:29
0
Jay sonia sonniah :
Hawa wa somali warundi kwa somali wapeleke vita kwao.
2025-07-24 18:50:49
4
kakasymo254 :
hii ichi iko na viongozi kweli ama kila mtu anafanya anayo taka
2025-07-24 17:12:37
18
To see more videos from user @castro_media, please go to the Tikwm
homepage.