Allah akujaze kheri nyingi sheikh langu hakika unahekma nyingii toka nakufahamu
2025-07-26 09:11:09
0
Mmongoli og🇹🇿 :
Hizi bidaa bidaa ndo zimekuja kuuzika uislamu kabisa🥺
2025-07-25 05:40:04
9
KIHOBE ABDALLA 2025 :
😂😂😂 saa hi mwajutia baada kuupotosha umma
2025-07-25 12:00:30
0
Thewhite White :
mim siachi kila baada ya swala ya magharib hiyo bidaa yakwao wao
2025-07-24 20:16:17
9
waziry junior :
Jazzaqallahu Kheira 🤲🤲🤲🤲
2025-07-24 19:22:16
1
Abu Nasra :
Sisi baada ya kila swala twaomba duaa kwa pamoja msikitini.
2025-07-25 03:53:29
2
Maalim Usaamah :
Tatizo zama zetu hizi Makhutwabaa ni wengi sana na Ulamaa ni wachache mno
2025-07-25 14:01:52
1
Fimbo Hamisi :
dah alhamdu lillah inshaa allah allah atazidi kuwapa elimi zaid nakujua kuwa wale wazee walikuwa sahihi maana asaivi misikit mingi imekufa huo uladi zaman wazee walikuwa wakileta alfajr na magharibi asaiv imekufa kwa maneno ya wezet wenye misimamo ya bidaa
2025-07-26 08:09:16
0
bakariomari6006 :
swadkta
2025-07-25 14:27:35
0
Mbwana Justine :
nikweli kabisa
2025-07-24 18:13:00
3
Said Said :
WATU WA BIDAA WAMETUMWA NA MAYAHUDI🤣🤣🤣🤣
2025-07-25 21:15:50
0
ammaar mwinyi :
wallahi sheikh hekima yahitajika saana kidaawa kuliko hamasa
2025-07-25 07:41:30
0
bwanaosman :
ngoja bachu ashibe nyama zake za kenge aje apige raddi
2025-07-25 08:10:20
1
Mr Sabuni :
shekhe nimekuelewa sana Allah akulipe
2025-07-25 11:57:19
4
Shafii Kauli :
kweli kabisa shekhe kombo tatizo jazba nakukosa hekma
2025-07-26 04:19:01
0
kunajoto001 :
sai twaambiwa ni uzushi😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-26 07:15:29
0
user9286254592278 :
kweli
2025-07-25 02:55:47
1
nawwar sultwaan :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 subhanallaaaaah
2025-07-24 18:25:29
1
Said Kulanga :
Maa shaa Allah sheikh kombo
2025-07-26 03:50:03
0
KGB. :
Yaleli hayo mulikuja na Jazba si khikm a🙏🙏
2025-07-24 19:41:55
0
madinaabdallamadi :
very true, I remember my uncle may Allah grant him Janna used to help us in doing adhkar especially after Fajr prayer
2025-07-24 20:42:19
6
schenaiderlunda :
bidhaa khasara sana sababu yakualekeza motoni
2025-07-25 03:39:38
0
Salim obore :
true
2025-07-24 18:50:02
1
babahadra5 :
jazaakallaahu khayraa
2025-07-24 19:12:32
1
Big_mapesa :
si elimu kuwazidi 🤣
2025-07-24 20:13:09
0
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm
homepage.