mimi sio mchungaji. ila sipendi wachungaji waongo. mimi akili yangu ndogo sana tena ya chini. sitaacha kutoa fungu la kumi. nimegundua wewe ni msomi. wewe ni mlopkoji. yale niliona kwenye kutoa sitaacha kamwe. basi bilia yote hiatusu.
2025-07-25 05:02:47
52
Sifikael✨ :
watu wengi tunatoa kama sheria na Wala sio kwa upendo
2025-07-25 06:21:46
18
Honoratha :
tupeleke wapi?
2025-07-25 12:46:42
1
Coletha Manyala :
Kuamini kwamba si lazima labda mawingu yaguse aridhi. Watu wa mataifa wanatoa zaka kwa miungu yao tena sana leo hii asimame mtu aniambie nisitoe zaka kwa Mungu wangu aliyenibariki!!
2025-07-25 11:00:53
0
Meshack_Pius :
Hii ndiyo shida ya watu kuamka na kukiita wachungaji bila kuwa na mizizi ya Imani,
fungi la 10 halijatajwa kwenye kitabu kimoja pekee,
watu wenyewe wanaotoa fungu la 10 wanaelewa wanachokifanya,
Nenda Kalime Kaka wewe kuliko kupotosha watu...
2025-07-25 09:12:06
12
shamba :
hapo lengo lako ni kufunga baraka za watu,wakikusikiliza kwa hili wakaacha kutoa zaka kuzimu inafanya sherehe
2025-07-25 18:25:06
1
sabinabm35 :
Mimi natoa fungu la kumi kwa kusapot kazi ya Mungu tu, si kwa sheria wala mafundisho ya mchungaji.
2025-07-25 10:37:10
13
Miy choice :
halafu naomba kuuliza zaka inatakiwa kwenda kwa wachungaji tu au unaweza kupelekea yatima
2025-07-26 04:13:02
0
WAMBINGUNI 7 :
huu ni upotoshaji
2025-07-26 14:34:52
3
Joyce Precious :
hili jambo lilikua linanisumbua sana, nimesoma maandiko nikawa sijaelewa na sina wa kumuuliza. asante kwa ufafanuzi huu, Mungu akubariki zaidi na zaidi🙏🙏
mtumishi anawapa na maandiko mnaompinga toeni na maandiko msipinge tu
2025-07-25 11:00:33
3
arafa_mbegu :
wasomi wengi ndio wanaongoza kwa ujinga😁.....
2025-09-15 08:22:01
0
@tiktok.creator.pilot.program :
Mimi Mchungaji wangu anadai fungu la kumi kama mshahara wake yaaan kiukweli saiv sitoi kwaajili staki ategemee fungu la kumi
2025-08-12 18:50:09
2
Ev. Innocent Muzanye :
fact, ukisoma huduma ya ukuhani ya agano la kale, ambapo ukoo wa kikuhani, walipewa kukaa hekaluni tu bila kufanya kazi za kujiletea riziki ila ilikuw
2025-08-08 07:23:47
0
Baba Moureen :
YESU ANARUDI SHIKILIA ULICHONACHO.
2025-07-26 11:30:03
9
Emmanuel Mwanyonga :
sitoi ili nibarikiwe sem nimebarikiwa ndo mana ninatoa😊
2025-07-28 14:33:13
7
Leonidas Jr :
😂😂😂😂 kunywa soda nakuja kulipa
2025-07-25 01:19:35
10
darprintingandstationery :
Afadhali kwakweli,🙏🙏🙏 wengi tumeishi na mzigo wa kujilaumu na kujiwekea madeni moyoni …!!!!
2025-07-25 07:12:46
2
Md. Tupe. :
Nimeewa ila kwa mtu mchana wa imani anaweza kutafskri tofauti kidogo.
1) nimeelewa sisi tulio wa neema tunapaswa kumsikiliza sana Roho mtakatifu anasemaje kwenye eneo la utoaji.
2) nimeelewa kwamba kutoa sio kulazimishwa ni ibada ya upendo kwa Mungu.
2025-07-25 07:12:54
4
To see more videos from user @nabii_denis_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.